Recent content by NYASONGA

  1. N

    CCM yatoa miezi 6 kwa waziri wa Elimu kujiuzulu....Vinginevyo itamtimua kwa nguvu

    Sijui kama ni kweli!!! Haya maneno ya jukwaani nayo yanaleta matumaini lkn mmmm! Tangu 2011 nadai malimbizo, nilishaanaa bajeti hadi karatasi zimepotea du!
  2. N

    Trafiki "feki" akamatwa akila vichwa live

    Aisee kama mchezo wa kuigiza vile! Binafsi nadhani huo ni ubunifu kwani ili upate pesa lazima uwe jasiri. Umri miaka 45 wakati ule wimbo wa maisha bora kwa kila mtanzamia haujafikia korasi jamaa kahofia uzee bila pesa.
  3. N

    Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    tehee! ni tamu sn hii natamani iwafikie walimu wote.
  4. N

    Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    Heri y3nu Mbeya day mlioridika na mishahara yenu duni,hebu washaurini hao walimu wenzenu wanaolalamikia maslahi hatutaki kusikia kelele zenu tena mfundishe na ufaulu uongezeke.nimegundua kwamba tunataka kuwasapoi wakati ninyi wenyewe wapuuzi wakubwa hamko pamoja!
  5. N

    Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    Hii ndo hali halisi,Rais mwenyewe alikwisha tangaza msimamo jinsi asivyothamin walimu.Wabunge wenu wenyewe ndo kabisaaaa . sijui mtafanyaje. Wapi Nyerere awaokoe hawa walimu wenzake wanaotaabika na mishahara duni Ktk wakati ambao maisha yako juu. Lini mwl wa Tz atapata maslah yatakayomwezesha...
  6. N

    Kibarua kizito kwa wanawake kupata wachumba Tanzania

    Hao ndo wasumbufu wanao wachukua waume wa wenzao kwa kujituma na kuwafanyia utundu ili wawateke.Km mwanamke atasema hahitaji kuolewa basi atumie njia nyingine kukata kiu ya mapenzi na sio kujibebea mabwana wa wenzake.
  7. N

    Hatutakubali hili la nyongeza ndogo ya mshahara!

    Walimu waige mfano wa wenzao Kenya, wawe na tamko moja litakalowapeleka ktk mafanikio juu ya madai yao.Serikali hii ya sasa si sikivu inahitaji kushinikizwa ukizingatia rais mwenyewe alishawadjarau kitaambo!
  8. N

    Usiri mkubwa waraka wa mishahara ya walimu.

    Masikini walimu wetu,, kilasiku wao ni watu wa matumaini ya mishara mipya na madarajaaaaa!!!.Wanavuja jasho wakati wenzao wanamega kiulaini.Najiuliza maswali mengi kuhusu hili bila kupata majibu! Hii nijeuri ya mh.Rais kitowathamin? au kunanchezo mchafu wa baadhi ya watu walioko chini yake...
  9. N

    Usiri mkubwa waraka wa mishahara ya walimu.

    subilini mbivu na mbichi kujulikana baada ya matokeo ya mitihani ya watoto,serikali wanania ya kuchukua alama 40 kwa wanafunzi wanaotakiwa kujiunga na sekondari.
  10. N

    CHADEMA wametumia zaidi ya Milioni 950 Arusha

    Huna hakika yawezekana ikawa kweli au isiwe kweli lkn tunakumbuka zamani kulikuwa na misemo km wakati ukuta,watu wanaweza kuhitaji mabadiliko wala wasijali chochote.
  11. N

    Vodacom Acheni Uhuni

    Hatamimi ilikwisha nitikea.
  12. N

    John Magufuli: Ninautamani urais!

    Jamaa anafaa kwa sasa Tanzania inahitaji kiongozi mwemye sifa km zake.
  13. N

    Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

    du, hao ndo wanaotuanzishia mabalaa.
Back
Top Bottom