Recent content by Nyaroka_Jr

  1. Nyaroka_Jr

    JamiiForums Tanzania Giza nene linakuja Tanzania Punde. Tujiandae...!

    Tutapata tabu sana!!!
  2. Nyaroka_Jr

    JamiiForums Tanzania Binadamu kuishi milele kama jaribio la kuonganisha ubongo na mfumo wa kompyuta litakamilika

    Binadamu kuishi milele kama jaribio la kuonganisha ubongo na mfumo wa kompyuta litakamilika Je unatamani kuishi milele?. Huko nchini Marekani mjasiriamali mmoja wa masuala ya teknolojia, Eloni Musk anadhanii binadamu huwenda wakaepuka kifo kutokana na ujio wa teknolojia mbalimbali duniani...
  3. Nyaroka_Jr

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Afikishwa Mahakamani kwa kuzaa na mwanaye

    Dunia inaelekea kusikojulikana
  4. Nyaroka_Jr

    JamiiForums Tanzania This drive me Crazy

    A baby was born and minutes after he began to speak: "I am going to live for only 4 days, my Mother will die in 6 days and my Father will die in 15 days." 4 days later the boy died, after 6 days the Mother died. The Father was going crazy coz the next one will be him. He sold everything and...
  5. Nyaroka_Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wa wifi yangu amempa mimba dada wa kazi nyumbani kwangu; familia imevurugika

    Duh, pole sana kwa mtihani huo. Mi naona mumsaidie tu huyi dada aweze kuilea mimba hiyo na badae azae na kulea mtoto.
  6. Nyaroka_Jr

    JamiiForums Tanzania Apps nzuri za Tanzania kwa ajili ya Mtanzania, Zilizotengenezwa na Watanzania

    Baadhi Hapo nimeshazitumia, ziko poa sana
  7. Nyaroka_Jr

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Mwivi usihamaki ukiibiwa!!

    Hahaha
  8. Nyaroka_Jr

    JamiiForums Tanzania TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    #Tanzania_yetu_hii_miaka_56_ya_uhuru! vioja kama hv vinapatikana tz pekee. TRA wakimaliza TAKUKURU wanafuata kumchunguza kwan huenda atakuwa ANATAKATISHA HELA
  9. Nyaroka_Jr

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Anamkosoa mtukufu rais! atakuwa anatumiwa huyo, itabid achunguzwe.
  10. Nyaroka_Jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanajeshi wa Tanzania wanashambuliwa DRC?

    dah! tumewapoteza vijana wengi sana!. Ee Mwenyez Mungu zilaze roho za vijana wetu mahali pema.
  11. Nyaroka_Jr

    JamiiForums Tanzania Nyakati hizi ni kati ya saa ngapi na saa ngapi?

    Jibu zuri
  12. Nyaroka_Jr

    JamiiForums Tanzania Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa kwa haraka kwa mwanamke

    Nimelipenda hilo somo
Back
Top Bottom