Apps nzuri za Tanzania kwa ajili ya Mtanzania, Zilizotengenezwa na Watanzania

13c4336dfcaf592d17e96efa7df03757.jpg


Title: Vocha Master
Description: App hii inakuwezesha ku scan namba za vocha na kuongeza salio kwa kutumia kamera ya app hii bila intaneti. Pia unaweza ku share namba uliyoscan kwa WhatsApp facebook nk.
Category: Tools
Download link: Vocha Master – Applications Android sur Google Play
 
Dogo bless moja ya ma IT ambao watakuja kuwa wajuzi sana nilisoma naye o level form two dogo tayar alikua anataftwa na makampun akafanye kazi

Tukiwa Forest hill ya Moro
 
aac4d6d7a0cddcd81774714d74e7829c.jpg

09da5635b958f9f3e1095acaf73487c4.jpg

80c0580a536ec1fb39609781e522ce1f.jpg


All PDF android app ni app ya kufungua faili za PDF na zana kibao za PDF naendelea kutengeneza, Tafadhali toa maoni kipi kiongezwe
 
Hivi ma IT wakibongo hakuna ata mmoja fikilia kutengeneza application ya kuchart kama ilivyo what's app au we chart
 
Nimetengeneza app nyingine inaitwa Sweep.
Inapatikana play store. Kupakua ingia playstore na uandike Sweep.

App inakuwezesha kufuta mafaili yasiyo na kazi yanayojaza tu nafasi ya simu yako.

Pia inakuwezesha kufuta mafaili yaliyojirudia sehemu zaidi ya moja na kujaza tu nafasi ya simu.

Unaweza pia kuona mafaili yapi ni makubwa kuliko mengine ili kama huyahitaji uweze kuyafuta.

Pia inaweza kuongeza muda simu inakaa na chaji

Inafanya simu yako iwe haraka kama inafanya kazi pole pole na mengine mengi
Screenshot_20200823-075929.jpg
Screenshot_20200822-114721.jpg
Screenshot_20200822-114738.jpg
Screenshot_20200823-075941.jpg
Screenshot_20200823-080012.jpg
Screenshot_20200823-075952.jpg


Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom