Recent content by nyantuzu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Inauzwa Tecno Y4

    Nauza Tecno Y4 used ipo katika hali nzuri. drop you offer.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa kilimo cha mbogamboga

    Kilimo gani kingine kinakubali huko mkuu?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa kilimo cha mbogamboga

    Shillingi ngapi mkuu icho kisima?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tenda - Kuprint Magazine

    Nipim nkupe contact.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Business partner wa kike anatafutwa kwa biashara ya ufugaji wa kuku

    Mkuu vipi ushapata? Kama hujapata ntafute hutojutaa.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kifaranga wa kuchi wa wiki tatu unauza bei gani?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnifundishe jinsi ya kutengeneza mishkaki mitamu na laini

    Habari wanajamvi! Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mishikaki has a inayouzwaa barabarani karibu na vituo vya daladala. Ni maarufu sana kwa mkoa wa Dar es salaam. Mwenye experience nayo anijuze mtaji kwa kuanzia ni shilingi ngapi? Na kijana anayechoma unamlipa shilingi ngapi kwa siku? Pia...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Bamia: Fahamu kuhusu mbegu bora, mazingira sahihi ya kulima, magonjwa na namna ya kuyakabili

    Faizafoxy huko mkuranga yanapatikana Mashamba ya kukodi? Na kukodi ni shilling ngapi kwa heka moja?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    . Mashamba huko wanauzaje kwa heka moja mkuu?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tunakopesha Microfinance

    Duuh, hii hatari.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tunakopesha Microfinance

    Habari wanajamvi, kwa anayewajua hawa watu huwa wanalipa kiasi gani? Nafasi ya Sales consultant. Natanguliza shukrani zangu.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kanga

    Yai la kanga ni shilingi ngapi? Na vp wadau unaweza kufuga kanga na kuku kwenye banda moja? Na soko la kanga likoje? Kanga mkubwa anauzwa shilingi ngapi? Naomba kujuzwa na bei ya mayai ya bata bukini. Natanguliza shukrani
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika: Ana mtaji wa laki tatu, afanyie biashara gani?

    Habari wanajamvi, Kuna dada mmoja yupo kijijini anadai kadunduliza wee kafanikiwa kupata kiasi cha laki tatu (300,000). Anataka kwenda Dar akatafute biashara afanye ila hadi sasa hajajua ni biashara gani (biashara halali), na huko Dar hana ndugu hivyo itabidi apange chumba kwenye hiyo hiyo hela...
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa ni muhimu katika maisha ya mwanadamu

    Hivi kwa mtu ambaye hajawai kufanya tangu azaliwe let say ke mwenye miaka kama 32 na kuendelea mmh atakuwa sawa kweli.!?
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa ni muhimu katika maisha ya mwanadamu

Back
Top Bottom