Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,235
Habari ndugu.
Kuna magazine mpya inahitaji mtu wa kuprint vizuri ili tuiwakilishe kwa ajili ya kufuatilia kibali. Tumeambiwa tupeleke nakala 10.
Ninaomba kama kuna anayefahamu Kampuni, au watu wazuri katika printing digital kwa nakala 10 na kuendelea tuwasiliane na tukiweza kushirikiana vyema hapo baadaye tutakuwa tunaprint copy kuanzia 100, 500 na kuendelea.
Tunapatikana Dar es Salaam.
Asanteni.