shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,329
Habari wadau?
anatafutwa mdada wa kusimamia ufugaji wa kuku wa kisasa.. wa nyama na mayai around 1000 kwa kuanzia
inshort yeye ndio ataongoza na kusimamia business nzima..
mama yangu ataweka mtaji, eneo la kufugia, chakula na malazi kwa business partner... na allowance ndogo ndogo kwa partner kipindi kuku hawajaanza kuuzika
eneo lipo yombo vituka..
anahitajika mtu mwenye commitment hasa anayeogopa hasara yeyote.. full time committed on those kuku..
wadada ambao hawana ajira na wapo interested na hii fursa mnakaribishwa
mnaoweza kuishi na mmama mtu mzima kupush huo mradi..
profit mtagawana nusu kwa nusu..
eneo ni dar es salaam maeneo ya buza...