Recent content by nyani mkindu

  1. nyani mkindu

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Newala wagomea bei ya korosho

    unamuuliza nani sasa?
  2. nyani mkindu

    JamiiForums Tanzania Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    mmmmh naogopa hata kukomenti
  3. nyani mkindu

    JamiiForums Tanzania Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Nyani mkindu tumkindule
  4. nyani mkindu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini faida ya kuoa kwa sisi wanaume?

    huu mjadala mbona wakuu hamkunitag
  5. nyani mkindu

    JamiiForums Tanzania Kifaa hicho nilikipata kwenye dating site

    acha ushamba
  6. nyani mkindu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kisiwa cha Mafia sio sehemu ya Zanzibar?

    huu uzi wakui unanihusu, eneweyi nitakuja hapa jukwaani baadae kutoa TAMKO Sent using Jamii Forums mobile app
  7. nyani mkindu

    JamiiForums Tanzania Member intro

    karibu sana, mimi kwa majina naitwa nyani mkindu tumkindule nina cheo cha Jf expert member, ambacho nilikipata ndani ya siku 10
  8. nyani mkindu

    JamiiForums Tanzania Mi wa Nkoani nakuja Dar nielekezeni mambo muhimu ya hapo mjini

    mjini michosho tuu
  9. nyani mkindu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria juu ya matunzo kwa mtoto asie wa ndoa

    wakati mnapeana mimba mlituambia
  10. nyani mkindu

    JamiiForums Tanzania Nilipigiwa simu na polisi na kuambiwa simu nayoitumia ni ya wizi, hivyo wanaomba ushirikiano

    kama ya wizi si uirudishe kwa mwenyewe? au itupe chooni
  11. nyani mkindu

    JamiiForums Tanzania Zitto, lugha yako ya mwili inaonesha una tatizo

    ulitaka ajishike makalio?
  12. nyani mkindu

    JamiiForums Tanzania CCM kupita bila kupingwa katika uchaguzi utakaofanyika Agosti 12, ukweli wenyewe ndio huu

    asante kwa taarifa jaji lubuva
Back
Top Bottom