Msaada wa kisheria juu ya matunzo kwa mtoto asie wa ndoa

meghan markle

JF-Expert Member
May 22, 2018
483
1,166
Nina ujauzito wa mtu ambae baada ya kugundua nina ujauzito akaanza visa vya kunikwepa na kunikana.
Sasa naona anataka anitelekeze na kuniachia majukumu mwenyewe. Amesema nijifungue kisha tutaongea na kuna muda hataki kabisa kugusia hilo swala.Ujauzito ni wa miezi mitano.

Je nikijifungua haki za mwanangu ni zipi?
Kikubwa ninachohitaji ni matunzo kamilifu kwa mtoto.
Naomba msaada juu ya hili.
 
Last edited:
Hii ni shida sana. Kama ulitegesha pole na kama hukutegesha pole pia.
 
Last edited:
mtoto awe ndani au nje ya ndoa ni wajibu wa mzazi kuhakikisha anapata matunzo.

Huyo Baba yake hawezi kukwepa majukumu ya kumtunza mtoto kwa kisingizio cha nje ya ndoa, sheria ya mtoto ya mwaka 2009 inatoa haki ya mtoto kutunzwa na wazazi wake wote
 
Write your reply...Mtoto atapata haki ya matunzo, usijali Dada yangu.
Akizaliwa nenda ustawi Wa jamii mkishindwana mpeleke mahakamani.
 
Mbona kama ni mm vile. Kweli umeamua kuja huku. Unataka kunifunga au ni hizo pesa tu. Mimba ya Moses si yangu. Shika adabu yako
 
Nina ujauzito wa mtu ambae baada ya kugundua nina ujauzito akaanza visa vya kunikwepa na kunikana.
Sasa naona anataka anitelekeze na kuniachia majukumu mwenyewe. Amesema nijifungue kisha tutaongea na kuna muda hataki kabisa kugusia hilo swala.Ujauzito ni wa miezi mitano.
Nilikua na ndoa ila tulitengana ndipo nikajikuta niko na huyu bwana,
Je nikijifungua haki za mwanangu ni zipi? Niko tayari kupima vinasaba ili ajihakikishie kua yeye ndie mzazi wa mtoto atakae zaliwa maana kuna wakati alianza kuleta maneno kua haniamini.
Kikubwa ninachohitaji ni matunzo kamilifu kwa mtoto.
Naomba msaada juu ya hili.
Wewe utakuwa popoma,wakati anakugegeda hukwenda kuangalia sheria inasemaje juu ya kugegedwa na kushika mimba bila ndoa.Jua tu jambo moja.Ili upate malezi ya mwano basi ni kwa huruma ya huyo baba yake.Sheria sana sana itakufanye uwe kichaa kwani uwezekano wa kupata matunzo kwa mujibu wa sheria na kisha kumfanya yeye ndo atekeleze ni mdogo sana.Nakuona tu jinsi unavozurura na Mimba yako.Na kwa jinsi ulivoandika hii post inaonekana una kisirani cha mimba kabisa....Ila kwa ushauri tu kwa sasa we sukuma tumbo,mtoto akizaliwa mjulishe,akikataa kumtunza angalia mawili,kama una uwezo wa kumtunza umtunze tu mwenyewe,kama huna uwezo basi uongeze biddi kwenye kazi.
 
Jiandae kisaikilojia kulea mwenyewe huyo mtoto, ikija tokea hakukusaidia ktk malezi itakuadhiri sana kiakili mwisho wa siku ujikatie tamaa ushindwe hata kutafuta namna nyingine ya kumlea mwanao,
Shukuru Mungu kakuonyesha mapema yajayo, wenzio wanapetiwa wee hadi wanazaa ndio visa vinaanza.
 
Back
Top Bottom