Recent content by NyandaP

  1. NyandaP

    JamiiForums Tanzania Sababu 10 kwanini unapaswa kusoma vitabu kila siku

    Hakika sijajutia kusoma hii Mada[emoji1433]
  2. NyandaP

    JamiiForums Tanzania House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

    Ni mtu mmoja anayekaa au ndio ya kushare na wapangaji wengine
  3. NyandaP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa Application nzuri ya kuandika hadithi

    Pata ya 2013 iko safi sana
  4. NyandaP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Hii vita mimi na Wife

    Kama vp usilipie kingamuzi ili zibakie local upate kutizama taarif ya habari
  5. NyandaP

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

    Km ulitangaza nia mshahara hakuna mwezi huu
  6. NyandaP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwasasa katika maisha yangu ni kitu kimoja tu ndio nimeamua kukifanya kwa nguvu

    Hapa umeongea point sana, kama kijana muhimu kuziwekea mipango nyakati zako, sio baadaye unakuwa mtu mzima alafu unakuwa unafanya mambo ya kitoto.!
  7. NyandaP

    JamiiForums Tanzania Kwa alichokiongea Vanessa Mdee, inawezekana Diamond Platnumz naye anafeki maisha?

    Kwaio mkuu unataka kumfananisha daimond na vannesa,,, kumbuka kuwa maisha yanachangamoto zake kila idara hivyo ni wewe kutafuta tu pale panapo kupatia furaha
  8. NyandaP

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Aisee mkuu katika uzi huu yapo mengi ya kujifunza na kuelewa zaid kuhusu mafanikio, ila yote haya huwezi kuyaelewa au kuyajua kama hutokuwa na jicho la tatu,
  9. NyandaP

    JamiiForums Tanzania Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Sehemu ya tano
  10. NyandaP

    JamiiForums Tanzania Maisha yanapokuwa magumu na NMB

    Kwako tu mshana Jr wengine tupo vizuri
  11. NyandaP

    JamiiForums Tanzania Jumatatu: Siku yenye mvuto kifedha/ kiuchumi

    Na ikitokea umesafiri, je! unasafiri nacho au vp hapo mkuu?
  12. NyandaP

    JamiiForums Tanzania Jumatatu: Siku yenye mvuto kifedha/ kiuchumi

    Na je unatumia chumvi gani ile ya asili (chenga chenga) au ila ya kawaida tu(ya Unga)
  13. NyandaP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mademu wa kichaga hawajui kukataa??

    Lakini ni vinganganizi kweli
  14. NyandaP

    JamiiForums Tanzania Ikitokea umebaki peke yako Duniani

    Me nitahamia magogoni Kula bata alafu nitaanza kujifunza kuendesha ndege za ATCL yani hapo mwendo wa bata tu
Back
Top Bottom