Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,608
- 860,789
- Thread starter
- #21
Mshahara umetoka na kuna badiliko kwa waliopandishwa madaraja, Aidha kuna madeni yamelipwa kwa waliokuwa wanadai malimbikizo ya mishahara, fedha za likizo, matibabu, uhamisho n.k. Aidha kundi jengne linataraji kubadilishiwa vyeo mwishoni mwa mwezi huu. Kwa kutumia mifano halisi kanusha/thibitisha habari hii.Mbona kana kuna jambo hapo ! Naomba ufafanuzi kidogo Kiongozi