sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 4,475
- 10,997
Good idea...but nilivyo muelewa mleta Uzi, anamaanisha what/how if unajikuta wewe ndie living thing (Kiumbe hai) katika Ulimwengu huu....!!
Au utafanya nini ikiwa utajikuta peke yako katika Sayari ya Mwezi..!
Nitaishi kwa amani endapo makaburi na wale watu waliopo mochwari vipotee..
Mwanzoni itanipa shida kidogo lakini nitazoea..
Magari yote mali yangu pamoja na viwanda
Ardhi yote mali ni mali yangu
Ndege zpte mali yangu
Naenda pale jk naitekenya ile bombardier natua kenya nachukua boeng,naamsha hadi dubai nachukua Emirate aahahaha namsha hadi Guangzhou uchina aisee ntakula bata..
Nikiishi kwa miaka mitatu nitakuwa na uwezo wa kuumba viumbe navyotaka viwe chini yangu lakini

