Recent content by nyamtondo

  1. nyamtondo

    Msumbiji yazitaka nchi jirani kusaidia kukabiliana na Wanamgambo, yasema mashambulizi yanaweza kusambaa ukanda mkubwa zaidi

    Sisi Waafrika hatujitambui kwa kiasi kikubwaaa mnoo. Unapigania imani ipi ha kuuwa wenzako bila sababu kwa kigezi chabuislamu? Wanavizia mpaka wa mtwara wanafanya uharibifu mkubwa alafu wanarudi msumbiji ambako wanajua serikali haiwezi kwenda kirahisii. Kwa nn mila Mara uislamu uhusishwe na...
  2. nyamtondo

    Dkt. Magufuli: Sijawahi kuona mpinzani bora kabisa nchini kama Dkt. Slaa

    Akijipendekeze wapi ulipo mchagulia
  3. nyamtondo

    GE2020 Dkt. Magufuli: Natamani kufika kila eneo kufanya kampeni lakini siwezi

    Nilitamani kukuona live kusini aisee so bad!
  4. nyamtondo

    Dkt. Mwinyi: Kiongozi anayetafuta kuongoza nchi hawajibiki kwa waliompigia kura tuu bali na kwa Mungu pia

    Mi nafikri udini ndo umekorea zaidi, ikifuatiwa na unguja na upemba pamoja na ubara na uzanziabari hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Kiongozi yeyote atakaye iingoza Zanzibar ni lazima ayafanyie haya mambo vinginevyo watu wataendelea kugawanyika.
  5. nyamtondo

    Ngazi ya madaraja ya mishahara

    Naomba kujua ngazi ya mshahara NIMR (PRSS 1.1) ni Sawa na shilingi ngapi
  6. nyamtondo

    Zawadi ya valentine kutoka kwa baba paroko

    Chama cha magirlfriend tanzania kimetoa tamko lifuatalo, ....SISI MAGIRLFRIEND VALENTINE HII HATUTAKI MAUA WALA IPHONE,IPAD,PESA,DINNER,WALA LAUNCH, tunasisitiza maboyfriend wetu siku ya tare14/02, waje wajitambulishe kwa wazazi wetu na kutoa tarehe ya harusi...... kauli mbiu mwaka huu ni...
  7. nyamtondo

    Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

    OFsi binafsi haihojiwa kwa hatua inazozichikua kama ilivyo serikali. mkurugenzi anaweza akawa anaamka na upuuzi kila siku lakini hakuna wa kumhoji na maamzi yao ni ya mwisho hayahojiwi na chombo chochote. Kwa hiyo hao ndugu bado wanamda wa kufanya mambo mengine binafsi tofauti na kuajiliwa hapo...
  8. nyamtondo

    Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Ndugu hizo ni chuki binafsi za kuambukizana. katika mazingira ya sasa kwa mtu yeyote aliye na nafasi iwe sekita ya umma au binafsi ni fisadi hakuna aliye msafi. pamoja na mabaya yake huyu mtu ana mazuri pia. mwaka jana nchini china waziri wao aliyeleta mapinduzi ya miundombinu ya reli...
  9. nyamtondo

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    MKuu haya ni ya kweli kabisa yametokea. inabidi mwenyekiti nae ajiuzuru nafasi yake. niaamini kuna wabunge wengine ndani ya chama walikiwa wanajua lakini wanaogopa kufukuzwa, bt dogo amemwaga unga na mboga naamini wengine watafuata nyayo za zito hawataogopa kufukuzwa wameshatiwa ujasili wa...
  10. nyamtondo

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Hizi tuhuma ni za kweli. kama siyo kweli mbowe atoke hadharani akanushe na aje na ushahidi vinginevyo ajiudhuru na atuachie chama chetu. ukitaka kujua kilichoka ndani ya wanandoa,basi wanandoa hao wspishane kauli utajua kila kitu kilichojificha ndani yao. ni sawa na hizi kauli za ufisadi kwa...
  11. nyamtondo

    Mechi ya watani jembe itaonyweshwa kituo gani?

    Tujulishane mechi hii ya watani jembe itaonyweshwa kituo gani cha TV?
  12. nyamtondo

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    Ninaamini hawa walio tekeleza haya mauaji wanahaha na kujutia nafsi zao. Ni wengi watakao athirika na mauaji haya maisha yao pamoja na familia zao yatakuwa duni na umasikini unawakaribia, kwani kesi za mauaji tunajua namna zinavyoendeshwa, zinatumia mda mrefu hadi wanandugu tunakata tamaa...
  13. nyamtondo

    Azam TV - hatujagawa tajiri na masikini, kuanza rasmi november 2013

    Hawa watu wanamipango mingi lakini haitekelezeki, hizo tarehe zilizoandikwa hapo juu zote zimepitwa na wakati leo ni tarehe 13/11 katikati ya mwezi lakini hawajasema chochote, wakati walipoita waandishi walisema wataanza tarehe moja hadi leo wapi. Wajipange kwanza ndo waite hao wandishi na siyo...
Back
Top Bottom