tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,316
Asante baba paroko.
Nawe pokea mengi sana kutoka kwangu!!
Kwanini roho inakuuma wakati .........!!!!
Umepata
Ngoja nifanye maandalizi!
Una access zote kwangu?
Chama cha magirlfriend tanzania kimetoa tamko lifuatalo, ....SISI MAGIRLFRIEND VALENTINE HII HATUTAKI MAUA WALA IPHONE,IPAD,PESA,DINNER,WALA LAUNCH, tunasisitiza maboyfriend wetu siku ya tare14/02, waje wajitambulishe kwa wazazi wetu na kutoa tarehe ya harusi...... kauli mbiu mwaka huu ni...... HARUSI KWANZA......zawadi siku ya sendoff!
Nami nafurahi kusikia umefurahi
Ni kazi yangu kukufanya ufurahi!!
baba paroko naogopa kulala mwenyewe
nahitaji maombi kabla sijalala
mmh...????
really maombi or its something else?