Recent content by Nyakipambo

  1. N

    Taswira ya Mbagala

    Kwa mujibubwa Meck Sadick 70% ya makaazi ya Dar es Salaam ni slums na hizo ulizotaja no sifa mojawapo ya slums kwa hiyo hayo ya mbagala yasikushangaze hali iko hivyo karibu jiji zima la Dae
  2. N

    Mbowe,Lissu , wammnyooshea mikono juu Zitto Kabwe

    Wachaga walikula o yako nn? Mbona una mahaba ya kike kwa hao watu?
  3. N

    Dar-es-salaam Umeme umekatika sasa hivi

    Arusha nako hamna umeme tangu saa moja na nusu asubuhi
  4. N

    Naomba elimu kuhusu Nokia lumia

    Mkuu hiyo nokia 1020 ni bei gani? Nataka kubadili simu kwa sasa natamani Sony au Nokia. Naomba ushauri wako. Napenda sana ma app na camera
  5. N

    Rugemarila, Tibaijuka, Mujulizi, Ruhangisa, Rwabukoba ni kashfa nyingine kwa mkoa wa Kagera!

    Wahaya ni wezi sana. Tanzania nzima hamna anayaewapata kwa wizi wa mali za umma
  6. N

    Hili ndilo daraja kubwa la kutoka Zanzibar hadi Dar es salaam

    Nadhani ni busara zaidi kujenga daraja juu ya ziwa Tanganyika kwenda DR Congo kuliko Unguja. Congo kuna maslahi makubwa kiuchumi na kama ni kurejesha pesa za uwekezaji itakuwa ni rahisi zaidi kujenga daraja juu ya ziwa Tanganyika kuunganisha Tanganyika na DR Congo
  7. N

    Swali la Kikorofi: Matajiri wa Tanzania "Wameweza" Vipi Kuwa Maskini?

    Mkuu unachosema ni kweli. Huu uongo wa ati kwamba Tanzania ni tajiri wa rasilimali unatumiwa na watawala kuhadaa wananchi ili wasifanye vurugu watulie tuli wakijua labda kwa kupitia huo utajiri unaosemwa upo ipo siku watapata neema kama mana zile ziliwashukia Waisrael
  8. N

    Waislamu wakipewa kutawala dunia kutakuwa na amani?

    Uislam umepata kutawala mara kadhaa duniani lwa dola madhubuti kama ile ya ummayad, abbasid n.k je wakati huo dunia ya kiislam ilikuwa na amani? Nachojua walikuwa wakipigana na kushindana jinsi ya kupinduana. Uislam haujui amani. Hata mtume wake hakuwa mtu wa amani. Aliamrisha vita na kuua watu...
  9. N

    CCM/ACT-Tanzania yatoa dau mil 30 madiwani wasirudi CHADEMA

    Jamaa kwa nn wasipige mpunga huo halafu wawapotezee. Fursa kama hizi haziji mara nyingi
  10. N

    Mabondia wa Tanzania wahudumiwa na Kenya mashindano ya madola

    Safi sana hata rais wetu anapewa huduma na USA sembuse mabondia
  11. N

    System tra

    Ife kabisa hiyo bandari ya Dar, sehemu sahihi isiyo ya ubabaishaji ni bandari ya Mombasa
  12. N

    Miji mikubwa 10 Tanzania kwa idadi ya watu

    Hao mil 2 ni idadi ya watu wanaoishi mkoa wote wa Mwanza na sio ndani ya mipaka ya jiji la Mwanza. Laki 7 ni wakazi wa jiji la Mwanza tu
  13. N

    Je?katiba mpya inaitambua Dodoma kama mji mkuu?

    Naongelea ile Tanganyika aliyopewa Nyerere na Gavana Sir Richard Gordon Turnbull kwa niaba ya Malkia wa UK. Kama hauijui kapekue vitabu mkuu usiwe mvivu kama WATANZANIA!
  14. N

    Je?katiba mpya inaitambua Dodoma kama mji mkuu?

    Mkuu hii rasimu ya sasa inahusu katiba ya muungano. Makao makuu ya muungano ni Dar es Salam. Dodoma ni makao makuu ya Tanganyika hivyo subiri katiba ya Tanganyika utasikia hilo unalolitaka.
  15. N

    Mteja mkuu wa zanzibar ikiwa na free port

    Mkuu hata huo udongo wa pemba pale Kigoma eneo la Mwandiga kwa kina Zitto upo mwingi sana na nafikiri udongo unaoliwa na Wajawazito Tanganyika unatoka Mwandiga na sio Pemba!
Back
Top Bottom