Nimelipia ushuru wa gari yangu aina ya toyota allex bank ya M BANK tawi la mwanza week iliyopita j4 nilikamtumia agent dar es salam akaenda port wanasema system ya tra iko down iko down kwa zaid ya week mbili kwa sasa wanatudai storage hapo TPA BANDARINI sasa ushuru nimelipa kwa muda shida ni TRA Au ndo kula pesa yetu sisi walala hoi nimejikwamua kausafiri ila naona kananienyesha....q mtusaidie tafadhali na hii system tunakoelekea sio pazuri.