Maoni ya wengi juu ya Katiba Mpya ijayo yalijikita kwenye huduma za Jamii,muungano Nk,lakini Wakasahau kuwa Nyerere aliona mbali sana juu ya jiji la Dam kuwa ipo siku litafurika,Watu,Magari,nk akapendekeza Serikari ihamie Dodoma . Cha ajabu katiba hii haishinikizi kuhamia Dodoma ili angalau zile pesa zinazopelekwa CDA zitumike kujenga jiji badala ya Jupiter bure,huku huduma za jamii zikidorola