deogan
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 399
- 46
Hiyo Lumia 1020 inatoka lini Jamani?
Imetoka usiku huu wa leo, kwakweli hiyo technology nokia waliyoweka kwenye camera wanastahili sifa improved image stabilization, manual focus. Unapiga distance picture katika high pixel then unaweza create different individual pictures za mpaka 3mp from picha hiyo moja. Ina mambo mengi sana hiyo camera nadhani chief mkwawa ataeleza zaidi