Recent content by nyakibimbi angela

  1. N

    JamiiForums Tanzania Saratani ya Mlango wa Kizazi inavyowatesa wanawake wengi duniani

    We hujui kansa inasababishwa na nini tena nyamaza.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwani Arsenal hajafuzu jamani nijuzeni mechi ya kwanza ilikuwaje?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaopenda mpira wa miguu wana kitu cha tofauti

    Jamani mleta mada umenikuna mie napenda mpira bala kuliko mchezo wowote niko the gurners Arsenal na young Dar African umoja wa mataifa.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Niko tayari na mie sio tegemezi .0676575824
  5. N

    JamiiForums Tanzania Lwandamina ni zaidi ya kocha

    Simba wana akili ndogo kweli eti waliwaweka benchi Okwi na Boco kisa wana mechi ngumu na waharabu wamepoteza point 2 kwa sababu ya ujinga wanafikiri mwarabu ni mbao 4G subutu yao nyumbu hao.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Sababu ya wanawake kupiga kelele wakati wa kujamiiana

    Wewe hao wanyiramba uliwaoba wapi?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Full Time: 4 Yanga Vs 0 Njombe Mji uwanja wa Uhuru Dar, Ligi kuu Tanzania bara

    Unataka tushangilie timu za hapa hapa kayumba miaka 4 hakuna kupanda ndege?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kubainika kuwa upo HIV+

    Hongera sana kwa ushujaa wako .Umesema mtu akitaka mawasiliano na aku pm mbona mie sijui jinsi ya kukupata in box tuongee zaidi niko serius .
  9. N

    JamiiForums Tanzania Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

    Tumia sensodine ila nunua kwenye maduka ya dawa makubwa sio pharmas za mtaani na inauzwa kuanzia 8500 na kuendelea.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Misemo ya watu wenye wivu ongezea yako

    Yaani nimejikuta nacheka kweli maisha haya yaani mtu huwa anakosoa anapoona hana uwezo wa kukipata hicho kitu lakini siku akipata kimya na wakati ni yule yule alikuwa kinywa wazi kudisi ya watu.Ni kumwomba tu mungu kila mtu apate hakuna asiependa vitu vizuri jamani ni hali tu ngumu.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

    Mie ningependa tukutane na Nyakimbimbi Angela
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi unamchukuliaje mwanamke aliyedata na mpira? ( ushabiki) kama wanaume?

    Niko mimi ni mwanamke napenda mpira sana na ninaujuwa vema mpaka wachezaji wengi wa timu zote nawajua mie ni Umoja wa mataifa young Dar African na Arsenal the gunners .
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nassari na Lema: Tuna ushahidi wa madiwani waliohama wakipokea rushwa, tupo tayari kuwaonyesha TAKUKURU na DCI

    Safi sana kamanda mie nashindwa kuelewa kwa nini ccm wanahangaika sana na upinzani wakati wao wako madarakani wana uwezo tu mkubwa wa kufanya lolote waacheni wapinzani nao wanahaki sawa.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya mwanasiasa bora wa mwezi wa nane.

    Lisu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya mwanasiasa bora wa mwezi wa nane.

    Mh .Tundu lisu . Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom