Tuzo ya mwanasiasa bora wa mwezi wa nane.

Aug 29, 2017
90
154
Ikiwa ni dakika kadhaa zimesalia kabla ya kuhitimisha mwezi huu wa nane, 2017 ni nani anastahili kupewa tuzo ya mwanasiasa bora wa mwezi huu wa nane kati ya hawa,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.

Makamu wa rais, Mama Samia Suluhu Hassan.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ndugu Daudi Albert Bashite alias Paul Christian Makonda.

Waziri wa Sheria na Katiba, Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Mrisho Mashaka Gambo.

Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Mbunge wa Singinda Mashariki na rais wa TLS, wakili Tundu Antipas Mughway Lissu.

Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, ndugu zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe.

Karibuni, chanda chema huvikwa pete.
 
Tundu Lissu ndio anafaa kuwa mwanasiasa wa mwezi August 2017.
Huyu ndio Raila wa Tanzania
 
Mkuu hapo hakuna wa kumfananisha na tundu Lissu toa jina la Lissu uweke jina la lipumba
 
Mleta ma
Ikiwa ni dakika kadhaa zimesalia kabla ya kuhitimisha mwezi huu wa nane, 2017 ni nani anastahili kupewa tuzo ya mwanasiasa bora wa mwezi huu wa nane kati ya hawa,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.

Makamu wa rais, Mama Samia Suluhu Hassan.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ndugu Daudi Albert Bashite alias Paul Christian Makonda.

Waziri wa Sheria na Katiba, Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Mrisho Mashaka Gambo.

Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Mbunge wa Singinda Mashariki na rais wa TLS, wakili Tundu Antipas Mughway Lissu.

Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, ndugu zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe.

Karibuni, chanda chema huvikwa pete.
Mlete mada mbona majibu unayo TL ni mwanasisa bora afrika nzima
 
Maswali mengine si hata ya kuuliza...Mh. Tundu Antiphas Lissu hana mpinzani na kumweka katika hiyo orodha ya malimbukeni ni kumvunjia heshima.
 
Ungeweka na Vigezo ingekuwa bora sana.

Kwa Vigezo gani/vipi?

Swali kama hilo ukiniuliza Mimi.

Nitajibu LISSU.

Kwasababu kauza sana Habari hasa hapa JF.

Maana huwezi kupita Nyuzi mbili hapa Siasani bila kukutana na Nyuzi iliyo na jina la LISSU kichwani (kichwa cha Mada husika)
 
Back
Top Bottom