Kwa hali kama hiyo huna haja ya kujua chanzo ni nini, wewe kama umeguswa msaidie. Kimsingi inatia huruma sana lakini ninaimani wafadhili watajitokeza wa kumsaidia, pole sana mdogo wangu.
Staki kuamini kama hayo malalamiko yako umeyafikisha kwenye uongozi wa chama na ukashindwa kutatuliwa ukiachilia mbali kuongea kwenye Mkutao Diamond, nafikiri bado unannafasi ya kukutana na uongozi wako mkazungumza ili waone ni kwa namna gani watakusaidia. Lakini nafikiri kwa kuwa wewe ni msomi...
Wadau naombeni ushauri wenu, ninampango wa kufuga Bata au Kuku wa nyma kwa ajili ya biashara, naomba ushauri wenu kipi kinalipa. Nategemea ushauri mzuri.
Mbunge wa Ubungo John Mnyika ametoa hoja kwamba uanzishwe mfuko maalum wa maji kama ilivyo kwenye umeme, wabunge wanachangia na kutaka bajeti ifumuliwe upya ili kupata fedha kwa ajili ya kutatua shida ya maji.
uhalifu huu kwa sasa umeenea katika jiji la Dar es salaam, juzi jirani yangu alivamiwa nyumbani kwake na kundi la watu zaidi ya ishirini, walianza kwa kumdhibiti mlizi huku wakimjeruhi kwa mapanga, wakafanikiwa kuingia ndani na kumlazimsha dada huyo kutoa fedha walifanikiwa kuondoka na laptop...
nimesom Hiyo story machozi yamenitoka kwa Kweli, huwezi kuamini kama mambo hayo yamefanywa na binadamu. Nafikiri adhabu wanayostahili wapigwe fimbo hadharani. Nayi wanaume mnachangia kwa kiasi kikubwa unyanyasaji wa Watoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.