Samahani kwa picha hizi sio nzuri, Tumuonee huruma

TAARIFA YA MICHANGO:
Mpaka kufikia jioni ya leo tarehe 10 June 2014,
kiasi kilichopatikana ni Tsh 1,900,000/=(milion moja na laki tisa).
Bado tunaendelea na michango.
Pia tunawashkuru wote mliojitolea,
Mwenyezimungu atawalipa kwa wema wenu.

Shukrani kwa taarifa mkuu! Kazi bado mbich jamani em' tuendeleeni kujipiga piga jamani.., si mnona tumeshapiga hatua moja tayari..., tuendeleeni..
 
attachment.php

Kila tunachopokea tunaingiza ktk akaunti hiyo hapo juu.
 
Attachments

  • Bank receipt.JPG
    Bank receipt.JPG
    136 KB · Views: 1,361
TAARIFA:leo trh 15 June
Mwanaidi bado yupo hospitali ya Mnazimmoja Zanzibar mipango inafanyika kumuhamishia hospitali ya taifa Muhimbili wiki ijayo.

Tunawashkuru wanaoendelea kumchangia na kutuunga mkono ktk harakati za kumsaidia Mwanaidi ipatikane milion 15 akatibiwe nchini India.
Ahsante sana.

Michango bado tunaendelea kupokea.
Tumefanya jitihada za kulitangaza hili sehemu mbalimbali ili kila atakaeguswa basi atoe alichonacho kwa moyo.
 
Taarifa za michango:
leo trh 19/06/ 2014 tumefanikisha kupata kiasi cha Tsh 2,134,000/=
ktk hizi baadhi milion 1 amepokea mama yake na Mwandishi Othaman Maulid kupitia michango yenu amepokea Tsh 1,134,000/=
Ahsanteni sana.
TAARIFA ZA KUTIA MOYO:
Kuna msamaria amejitolea kugharimia tiketi ya kwenda na kurudi India pindi taratibu za safari zikikamilika.

Bado tunaendelea kupokea michango yenu ili kufanikisha safari hii,AHSANTENI.
 
Vizuri sana.., hizo tiketi za kwenda na kurudi zingharimu kiasi gani mkuu..
 
Pole sana samahani kwa kuuliza ivi chanzo cha ajari ni kipi?wadau mara nyingi wanapenda kupata taarifa ya kina na ndiyo wanashawishika kutoa msaada, kimsingi pole

Kwa hali kama hiyo huna haja ya kujua chanzo ni nini, wewe kama umeguswa msaidie. Kimsingi inatia huruma sana lakini ninaimani wafadhili watajitokeza wa kumsaidia, pole sana mdogo wangu.
 
Taarifa za michango:
leo trh 19/06/ 2014 tumefanikisha kupata kiasi cha Tsh 2,134,000/=
ktk hizi baadhi milion 1 amepokea mama yake na Mwandishi Othaman Maulid kupitia michango yenu amepokea Tsh 1,134,000/=
Ahsanteni sana.
TAARIFA ZA KUTIA MOYO:
Kuna msamaria amejitolea kugharimia tiketi ya kwenda na kurudi India pindi taratibu za safari zikikamilika.

Bado tunaendelea kupokea michango yenu ili kufanikisha safari hii,AHSANTENI.
Mkuu tafadhali nipe namba yaki ya voda.Wengine sisi hatutumii tigo pesa.
Au vinginevyo nihakikishie je namba ya mama yake imeshakubali kufanya kazi maana kuna mdau alisema haikubali
 
Mkuu SPANISH CP namba hiyo ya mzazi wa huyo binti mbona haiko kwenye service?
Nimetuma hiyo pesa kwa namba hiyo lakini najibiwa"its not in service".
Matokeo yake hela itarudishwa kwangu.
Check it out.
Mkuu samahani.
Ulifanikiwa kutuma kwa hiyo namba ya mama ikakubali.Nataka na mimi nitumie hiyo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu samahani.
Ulifanikiwa kutuma kwa hiyo namba ya mama ikakubali.Nataka na mimi nitumie hiyo
Mkuu ile namba ya mama mzazi iligoma.
Nimetumia namba ya huyo mwandishi wa habari
TUMA kwa Tigopesa 0715424152-Mwandishi wa habari gazeti la Zanzibar Leo(Othman Maulidi)

Natanguliza shukrani
 
Mkuu tafadhali nipe namba yaki ya voda.Wengine sisi hatutumii tigo pesa.
Au vinginevyo nihakikishie je namba ya mama yake imeshakubali kufanya kazi maana kuna mdau alisema haikubali

Nakutumia namba ya voda Ndugu yangu.
 
Mkuu ile namba ya mama mzazi iligoma.
Nimetumia namba ya huyo mwandishi wa habari
TUMA kwa Tigopesa 0715424152-Mwandishi wa habari gazeti la Zanzibar Leo(Othman Maulidi)

Natanguliza shukrani

Ahsante Ndugu yangu,ulichotuma kimefika shukran ubarikiwe.
 
Kwa hali kama hiyo huna haja ya kujua chanzo ni nini, wewe kama umeguswa msaidie. Kimsingi inatia huruma sana lakini ninaimani wafadhili watajitokeza wa kumsaidia, pole sana mdogo wangu.
kujua chanzo pia ni sehemu ya msaada mkubwa sana kwani kama alitendewa unyama wa aina yeyote kuna watu wa kumsaidia kwa kuchukua hatua stahiki dhidi ya wahusika pia forum kama hii inasomwa na watu wengi, na hata kama hakufanyiwa unyama wa aina yeyote kama ni malazi pia ni vema pia kujuzwa kumbuka hapa jf kuna watu wana weredi tofauti labda kama wewe ni mgeni humu basi itakuwia vigumu kujua namaanisha nini hebu cheki hapa chini kidogo......
Join Date : 7th May 2014

Posts : 38
Rep Power : 314
Likes Received7
Likes Given0

Ni hivi ndugu huyo binti alikua yupo jikoni peke yake anapika akapatwa na kizunguzungu cha ghafla akaangukia alizimia na kuangukia ktk jiko lenye moto akaungua kama unavyomuona,
 
jamani niesikitishwa na hili nampa pole pia nimeguswa sana asante kwa ufafanuzi
 
Taarifa:leo Trh 29/06/2014.
1.Habari zakutia moyo Ni kwamba kuna msamaria amejitokeza wa kugharamia tiketi za mama yake na nesi mmoja kwenda na kurudi India.

2.Za kusikitisha ni kwamba kuna mtandao mmoja(tznews 70) Kupitia Ukurasa wao wa facebook walitoa picha hizo za MWANAIDI na kuzitungia story kwamba huyo ni mwanachuo wa chuo Mkoani Iringa amechomwa moto kwa tuhuma za wizi.
Jamani hawa wenzetu walichokifanya si jambo jema hata kidogo.

3.Kwa Mara nyingine niwashkuruni nyote mnaondelea kujitolea kwa moyo kutokana kuguswa na shida ya ndugu yetu Mwanaidi.
 
Spanish naomba ya airtel money kama ipo
 
Pole yake Mwanaidi.
Ila wangewahi na mitishamba hali yake isingefikia level hii.
Asali mbichi ya ukweli sio makangaja ya mjini ukichangaya na Unga wa Kasha la Konokono sio wa Baharini na wala sio aliye hai ,lazima iwe ya Muda.
Amini usi amini ukipaka kwenye kidonda Ndani ya siku 3-5 unaanza kupata majibu kidonda!

Ama kweli watu wengine kweli mkuu habari kama hii kuchanganywa na stori kama hii inaumiza.
UNYAMA : MWANAFUNZI WA CHUO ACHOMWA MOTO AKIDHANIWA MWIZI http://www.tanzanianewz.com/2014/06/unyama-mwanafunzi-wa-chuo-achomwa-moto.html …
maskini:Mwanafunzi wa Chuo Anusurika Kifo Baada ya Kuchomwa Moto Akidhaniwa ni Mwizi
Imagine guys kuna this guy mtanashati anasoma chuo cha ruaha a.k.a ruco huku iringa. Alikuwa sheria mwaka wa nne. Ameitiwa mwizi kumbe sio akachomwa moto. Ameungua ila hajafa, hivi ndivyo alivyo.
 
Back
Top Bottom