Lembeli ashtaki magazeti

Lembeli ashtaki magazeti

Hakuna mwana ccm msafi hata mmoja... Niliwahi kumuamini Samuel 6, lakin ghafla nimechefukwa naye sitaki hata kumwona... Gazeti la kuchomoza jua halinaga huruma na dhambi...

Mkuu hao ni ukoo wa panya!
 
Kuna mnafiki zaidi yako..Leta ushahidi wa yale Madai yako kuhusu Mkakati wa Ben Saanane na Tundu Lissu ndani ya CHADEMA. kwenye uongozi wa chama kwanza.Miezi sita inakaribia kupita lakini Upo kimya tangu nikwambie uweke ushahidi hapa
Ni mjinga tu anayeweza kupoteza muda kubishana na wewe!
 
Z9tAAAAAElFTkSuQmCC


Lembeli kutoka kushoto Nkuwi na Sarakikya wakipanga mipango ya kumg’oa Mkurugenzi wa wanayama pori. Hapo walikuwa London ndipo walipopanga huo mpango
 
Back
Top Bottom