Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu tarehe 2 June, 2014

Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu tarehe 2 June, 2014

Ufimyu wa fikra...je kwa sasa serikali inauwezo huo??? Tafakari kabla ya kulalama!!!!!????
 
Lusinde kasema ukweli maana mama eneo husika hamna Maji alafu waziri mna MPA ya chupa hataelewa Kama kunashida
 
Mbunge wa Ubungo John Mnyika ametoa hoja kwamba uanzishwe mfuko maalum wa maji kama ilivyo kwenye umeme, wabunge wanachangia na kutaka bajeti ifumuliwe upya ili kupata fedha kwa ajili ya kutatua shida ya maji.
 
Mnyika nasikia kawasha moto wa Wizara ya Maji, wanaongalia TV tafadhali tupeni update
 
Maji maji ndo yatakurudisha hapo mjengoni. Siyo umeme wala Barabara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom