Max, mlimani TV afariki

Max, mlimani TV afariki

Nyakazeze

Member
Joined
May 7, 2014
Posts
36
Reaction score
7
Maxmilian John Ngude, mwandishi wa Mlimani TV. na mpiga picha nguli wa Tanzania amefariki dunia, RIP Max
attachment.php
 

Attachments

  • MAX.jpg
    MAX.jpg
    29.9 KB · Views: 2,199
ahhhhhhhhh, namfahamu alikua anajituma sana huyu RIP Max
 
Kaburini ni mwanzo, alale kwa amani huko aendako. Pole iwaendee ndugu na jamaa wake wa karibu
 
Du yaani hili jembe limetutoka?nnamfahamu toka yupo changamoto RIP jembe
 
Aliipenda kazi yake sana, kazi ya bwana haina makosa
 
Alazwe pema peponi😛ray2:😛ray2::A S-rose::A S-rose::A S-rose::rip:
 
Back
Top Bottom