Recent content by NYADOGI

  1. N

    Shehena ya kwanza ya mabomba ya gesi Mtwara yawasili

    Utawala wa sheri uko wapi hapa.kwa hiyo serimali imeamua kutumia miguvu yake,du! Ama kweli mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe
  2. N

    Chaguzi ndogo 16/6 na 14/7 majumuisho na tathmini

    Raha sana kwa ushindi huu
  3. N

    Chaguzi ndogo 16/6 na 14/7 majumuisho na tathmini

    Hongera sana for good evaluation
  4. N

    Ajitokeza kumfufua NYERERE

    Angesema cdm itashinda angekuwa amekatwa
  5. N

    Msimamo wa Joyce Kiria baada ya kushauriwa amwambie mumewe aachane na siasa

    Safi sana kamanda mpiganaji,Wanawake wore wa gekuwa kama wewe ccm chali
  6. N

    Kesi ya Agnes Doris Liundi - Nini hasa kilitokea?

    Du! Nashukuru sana kwa material facts ya hii Jedi maana nilikuwa naitafuta sana. Naomba unaweza kunisaidia material facts ya Jedi ya said mwamwindi aliye muua kleruu. Vaveja sana
  7. N

    Tanzania ni mfano wa familia yenye mabinti wazuri

    Tanzania chini ya serkali ya ccm inafanana na nyumba yenye binti wa,uri wenye mvuto na ndipo vijana wa kila Rika,na uwezo wa kifedha wanaitembelea. Katka hali hii wazazi wanaona ufahari namna vijana wanavyobadilishana viti kwa ajili ya kupata fursa ya kuongea na mabinti hao. Lakini kwa ajili...
  8. N

    Serikali ya CCM itaendelea kuzitumia taasisi za kidini kuficha maovu yake hadi lini?

    Hutu shekhe anaonyesha alichoelekezwa na mabosi wake ameshindwa kukiwakilisha kwani hakuna jipya Saudi ya kuuza sura. Namshauri kuwa za kuambiwa aonge,e na za kwake
  9. N

    Kwa wale wanaopotosha watu kuhusu mishahara ya walimu soma hapa!!

    fake letter,haina tarehe,haina anuani wala barua pepe nembo ni photocopy hali signature ni orijino wajipange upya jaws jamaa
  10. N

    LWAKATARE: Kuna unafiki CHADEMA

    Haya ni majungu yanayopikwa na ccm yeye lengo la kumgombanisha kamanda na chama chake
  11. N

    CUF nao waanza kuonja machungu ya CCM

    Ndugu wana JF, Mapenzi ni kikohozi hata ungeficha vipi litajulikana tu. Tarehe 25/6/2014 kamanda Jobs kwa mbwembwe zake alisitisha maandamano kwasababu rukuki na akaenda mbali Saudi kwa kukemea kwa taasisi na vyama vya soda Fulani vilivyopanga kunyenyua mabango wakati waujio wa Rais Obama. Bila...
  12. N

    Lwakatare amefunguka...

    Kamuulize babu yako.
  13. N

    Zitto achoka kuvumilia

    Kama waliua mwanamke mjamzito mtwara watakuwa na huruma na watu wazimaKwakweli inasikitisha. Kwabahati nzuri namfaham vizuri mama makinda kwamba kabila lake la wabena hasa WA lupembe wanginyi suala la msi a wanaliheshimy sana sass sijui kuishi mjini kumemchanganya. Amenitia aibu kwakweli...
  14. N

    Hati ya kukamatwa Mwigulu Nchemba

    Naomba IGP asiishie kuongea na waandishi WA habari tu Bali atoe hati ya kumkamata mwigulu na akapekuliwe nyumbani kwake.aidha kama anataka kweli itendeke amtangaze kuwa mwigulu ni mtu hatari kwa usalama WA Taifa
  15. N

    Hali ya Kamanda Nassari

    Mungu atafanya maajabu na kamanda atapona.nassari tupo pamoja nawe usihofu.
Back
Top Bottom