Chaguzi ndogo 16/6 na 14/7 majumuisho na tathmini

Nyerere alisema, "Kama raia watakosa haki zao ndani ya CCM basi waazitafuta hata nje a CCM".

Ndoto hizi sasa zinaanza kuonekana wazi si Arusha pekee hadi Kigoma. Mfano; Kigoma kuna wabunge watatu tuu wa CCM hata hivyo walipita kimabavu. Walipita kupitia tamko kutoka kwa Rais kwa wakurugenzi wa Wilaya lakini Kwa Felix Mkosamali wakanoa meno kwenye Chuma.

2015 CCM ndani ya mkoa wa Kigoma ndo kwa kheri vyama pinzani ndani ya Bunge
 
Mtu wa Shamba thank you ever so much kwa analysis nzuri imetujuza na kutukumbusha mengi.ni suala la kuitumia kwa maeneo ambayo tulishindwa vibaya kama CDM ili tuwekeze maeneo hayo kupitia M4C.hakika tuta-gain
 
asante kwa kuliona hilo na bado huo ni mwanzo tu. 2014-2015 itakuwa balaa tupu
 
SHONZA.... Kwa lugha yetu ya kinyumbani maana yake NJAA TUPU hivyo basi tusimshangae kuchukua maamuzi yakumfuata JAMBAZI NCHEMBA yalikuwa matarajio yake kuwa atakuwa hawala wake. JUHA watu akimwona atamteua aidha kuwa MKUU WA WILAYA............. lakini sivyo. UTAJUTIA MAAMUZI YAKO YA KIJINGA KAMA VILE HUKUSOMA HATA DARASA LA KWANZA. MAISHA MEMA
 
Nyerere alisema, "Kaa raia watakosa haki zao ndani ya CCM basi waazitafuta hata nje a CCM".

Ndoto hizi sasa zinaanza kuonekana wazi si Arusha pekee hadi Kigoma. Mfano; Kigoma kuna wabunge watatu tuu wa CCM hata hivyo walipita kimabavu. Walipita kupitia tamko kutoka kwa Rais kwa wakurugenzi wa Wilaya lakini Kwa Felix Mkosamali wakanoa meno kwenye Chuma.

2015 CCM ndani ya mkoa wa Kigoma ndo kwa kheri vyama pinzani ndani ya Bunge
LAKINI PIA NYERERE ALIONA WIVU KUONA UPINZANI UNAZALIWA.ALIWAHI KUSEMA KUWA; "SIKO TAYARI KUONA MY COUNTRY IS GOING IN THE HANDS OF DOGS, AKIMAAANISHA WAPINZANI." hALAFU ALISEMA TUSI LINGINE LA WIVU KUWA, " mtoto akillia wembe mpe tuu atajikata mwenyewe" akiwamaanishia wapinzani. Kumbuka ile hotuba yake ya kukalibisha mageuzi. Sisi wenye kumbukumbu hatuyasahau madharau yake kwa Upinzani!
 
Mtwara nayo wameipoteza tena kwa kwa kutumia Nguvu-ccm wamekamatwa pabaya bila green rebels hawapati ushindi,but all in all watu ndo wanatakiwa wakeweke madarakani sio vitisho au ukandamizaji!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Analysis ni nzuri na inajieleza haihitaji mbwembwe kuelewa, ni kama vile picture, mimi nnaipongeza chadema kwa ushindi lakini inabidi kuongeza nguvu mara tatu ya hivi sasa maana inaonyesha ccm bado ananguvu kwa mfano kati ya kata 19 amepoteza 5 na kuongeza 2 wa wapinzani dhaifu, chd yapaswa kujipanga kimkakati na kuhakikisha inaongeza idadi ya wapiga kura
 
SHONZA.... Kwa lugha yetu ya kinyumbani maana yake NJAA TUPU hivyo basi tusimshangae kuchukua maamuzi yakumfuata JAMBAZI NCHEMBA yalikuwa matarajio yake kuwa atakuwa hawala wake. JUHA watu akimwona atamteua aidha kuwa MKUU WA WILAYA............. lakini sivyo. UTAJUTIA MAAMUZI YAKO YA KIJINGA KAMA VILE HUKUSOMA HATA DARASA LA KWANZA. MAISHA MEMA

Sijakuelewa bt nikushukuru tu kwa kuniona mm mjinga
 
sokoinei;

Mzee watu wanashindwa kupeleka watoto shule, wanakosa matibabu, wanashindwa kuwasiliana kwa simu gharama zimekuwa kubwa, namna yakupata mlo mmoja kwa siku nitabu, elimu yenyewe ndo hio watoto wamejazana nyumbani baada ya kupata zero, Alafu unawasimamisha watu kama vinyago majukwaani na kuwaletea mziki wa nambari one! nani atakuelewa, wacha wavune walichopanda. Nakama wataendelea kumtumia Mchemba upinzani wanakazi rahisi sana huko tuendako.
 
LAKINI PIA NYERERE ALIONA WIVU KUONA UPINZANI UNAZALIWA.ALIWAHI KUSEMA KUWA; "SIKO TAYARI KUONA MY COUNTRY IS GOING IN THE HANDS OF DOGS, AKIMAAANISHA WAPINZANI." hALAFU ALISEMA TUSI LINGINE LA WIVU KUWA, " mtoto akillia wembe mpe tuu atajikata mwenyewe" akiwamaanishia wapinzani. Kumbuka ile hotuba yake ya kukalibisha mageuzi. Sisi wenye kumbukumbu hatuyasahau madharau yake kwa Upinzani!
Dogs haikuwa wapinzani pekee kama inavyotafsiriwa na watu wengi, hata watu WA aina ya lowasa.
 
Uchambuzi umetulia mkuu,shukrani kwa sana ila bado CDM wanahitaji kukaza buti zaidi japo mpk sasa wanachana mbuga vizuri lkn nawashauri wakaze buti zaidi......wananchi washawaelewa kilichobaki ni kuwaaminisha kuwa wanaweza tokomeza,ujinga,maradhi na umaskini......
 
Wao walituua kwa mabomu na risasi, sisi tukawaua wao kwa sanduku la kura

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwa matokeo haya kikwete lazima aifute green gurd kwani haina faida, kazi yao ni kula pesa za mafisadi tu
 
LAKINI PIA NYERERE ALIONA WIVU KUONA UPINZANI UNAZALIWA.ALIWAHI KUSEMA KUWA; "SIKO TAYARI KUONA MY COUNTRY IS GOING IN THE HANDS OF DOGS, AKIMAAANISHA WAPINZANI." hALAFU ALISEMA TUSI LINGINE LA WIVU KUWA, " mtoto akillia wembe mpe tuu atajikata mwenyewe" akiwamaanishia wapinzani. Kumbuka ile hotuba yake ya kukalibisha mageuzi. Sisi wenye kumbukumbu hatuyasahau madharau yake kwa Upinzani!

Bila Nyerere upinzani ungetoka wapi? Au ndo hufahamu kama watanzania tulitoa maoni na tukaukataa sisi wenyewe? Ni kweli hujui kwamba kwa busara yake ndo iliyoleta upinzani?
 
Back
Top Bottom