Lwakatare amefunguka...

Lwakatare amefunguka...

Hivi kuna ushahidi zaidi ya ile video?iwe alirekodiwa anajua au hajui ule ni ushahidi tosha,
 
Ilaq sikuamini kwa mengi Lwakatare. Nina wasiwasi mkubwa sana kwa dhamira yako ya ndani sijui kama inalenga nuclear moja na wana chadema wa kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Unatakiwa udhihirishe hili!!! Siwezi amini inakuwaje mtu akuchukue video na ukubali kuongea (kama kweli ni wewe) bila kuhoji matumizi ya video
 
Wapiganaji msihofu, vyombo vingine vya habari ni vya udaku habari zake ni za majitaka, fikra za waandishi na wahariri wao ni za wagonjwa wa akili kubuni kisichokuwepo. UKOMBOZI UNAKARIBIA NAAM KITAMBO KIDOGO utaonekana. Nguvu zote wanazotumia kuchafua wenzao hatimaye zinakaribia kuisha, wamechoka na wapo hoi kabisa hawajiwezi.
 
Asante kamanda Lwakatare. Nafurahi jinsi ulivyo na high spirit kamanda endelea kuwaimarisha wananchi na vijana kuwa tayari kwa nyakati za aina zote mpaka hapo ukombozi wa nchi hii utakapotimia.
 
[h=5]ONA UHUNI HUU WA CCM.

WAMETENGENEZA GAZETI LAO WAKALIITA MWANANCHI, NA WAKAPOTOSHA KUHUSU LWAKATARE, KUMBE MWANANCHI YENYEWE HAIKUANDIKA KBS TAARIFA HIYO.

TIZAMA MAGAZETI MAWILI YA MWANANCHI HAPO JUU, YOTE NI YA SIKU MOJA TAR.25 JUNE 2013.

LA JUU NI LILILOTENGENEZWA NA CCM NA KUSAMBAZWA ONLINE ILI KUPOTOSHA, LA CHINI NDIO MWANANCHI HALISI ILIYOUZWA MTAANI JANA.

WALICHOKIFANYA CCM NI KUIBA CORPORATE IDENTITY YA MWANANCHI ILI KUJITAFUTIA LEGITIMACY YA HABARI YAO.

THAT IS CRIMINAL OFFENCE AND ITZ CONTRARY TO THE PROPERTY ACT. [Cap.212 R.E.2008] CHAPTER 212 OF TANZANIA COMPANIES LAW.

N:B KAMA CCM WAMEWEZA KUIBA IDENTITY YA GAZETI LA MWANANCHI ILI KUTEKELEZA AZMA YAO OVU, JE INGESHINDWAJE KUUA WANACHAMA WA CHADEMA KWNY MKUTANO WA SOWETO ARUSHA, KWA MABOMU YALIYOLETWA NA MWIGULU NCHEMBA KUTOKA CHINA??

TUMA KWA WATU 10 WAJUE MBINU HIZI CHAFU ZA CCM, NA KUSHINIKIZA WANAHARAKATI KUISHTAKI CCM KWA UHALIFU HUU.!
[/h]

Kamanda tuko bega kwa bega, hao jamaa wamekwisha
 
Muulize Ludovick na Mh. Mwigulu Nchemba

Hakuna sera kama hiyo kuna watu wanaogopa kivuli chao
Hiyo inaitwa "escapism"
Mtu kukimbia kivuli cha maneno na matendo yake, na mnajua fika sasa wananchi walio wengi wameshawasitukia.
Simple questions zinazoelezea character ya lawlessness na cowboy politics.

Hata wakifa wanachadema nyie mnawachukulia kama wahanga na kafara, lakini kwa wananchi walio wengi ni roho zilzopotea bure kwa uchu wa madaraka unaofanywa na kundi linalojulikana ndani ya CHADEMA.
 
--- lakini kwa wananchi walio wengi ni roho zilzopotea bure kwa uchu wa madaraka unaofanywa na kundi linalojulikana ndani ya CHADEMA.

1. Ungekuwa kisayansi zaidi kutotumia hayo maneno mekundu, kwa sababu hawapo pili kama una maanisha wawili bado si wengi. Unapotoa hoja hata kama ni ya kisiasa inakuwa na uzito ukiipa takwimu. Hapo huna hata ulinganisho "wengi" kulingana wa wepi?

2. Chadema haijawahi kuwa madarakani sasa uchu gani wa madaraka ambayo haijui?

3. Niliokutajia hao tazama kwenye mtandao wa humu humu JF Mwigulu anahutubia walivyotengeneza sinema yenu ya Lwakatare na Ludovik.

Usichoke kama serikali na chama chako gangamala kuna Tanzania zaidi ya kung'ang'ania madaraka na Tanzania bila CCM na Chadema.

Vipi post # 30 hapo juu yako?
 
ONA UHUNI HUU WA CCM.

WAMETENGENEZA GAZETI LAO WAKALIITA MWANANCHI, NA WAKAPOTOSHA KUHUSU LWAKATARE, KUMBE MWANANCHI YENYEWE HAIKUANDIKA KBS TAARIFA HIYO.

TIZAMA MAGAZETI MAWILI YA MWANANCHI HAPO JUU, YOTE NI YA SIKU MOJA TAR.25 JUNE 2013.

LA JUU NI LILILOTENGENEZWA NA CCM NA KUSAMBAZWA ONLINE ILI KUPOTOSHA, LA CHINI NDIO MWANANCHI HALISI ILIYOUZWA MTAANI JANA.

WALICHOKIFANYA CCM NI KUIBA CORPORATE IDENTITY YA MWANANCHI ILI KUJITAFUTIA LEGITIMACY YA HABARI YAO.

THAT IS CRIMINAL OFFENCE AND ITZ CONTRARY TO THE PROPERTY ACT. [Cap.212 R.E.2008] CHAPTER 212 OF TANZANIA COMPANIES LAW.

N:B KAMA CCM WAMEWEZA KUIBA IDENTITY YA GAZETI LA MWANANCHI ILI KUTEKELEZA AZMA YAO OVU, JE INGESHINDWAJE KUUA WANACHAMA WA CHADEMA KWNY MKUTANO WA SOWETO ARUSHA, KWA MABOMU YALIYOLETWA NA MWIGULU NCHEMBA KUTOKA CHINA??

TUMA KWA WATU 10 WAJUE MBINU HIZI CHAFU ZA CCM, NA KUSHINIKIZA WANAHARAKATI KUISHTAKI CCM KWA UHALIFU HUU.!

You're just making noise for nothing.

Kwa hiyo wewe una muhuri kwenye paji la uso wako kama wewe siyo CCM, na kama ndivyo hivyo, una muhuri wa chama gani. Kwa ini unafikiria aliyefanya hivi LAZIMA atakuwa ni mwanaCCM.

Haya unayochagiza hapa ni mawazo ya chekechea.

Kwa mawazo yako, utakubaliana na mimi ni,isema kama CHADEMA wamechakachua gazeti ili kupata kigezo cha kusema ni CCM ili CCM ionekane ni wachakachuaji.

Utakubaliana na mimi nikisema kuwa aliyefanya hivi ana ugonvi personally na Lwakatare nanamefanya hivi ili kumhombanisha na uongozi wa CHADEMA kwa manufaa yake.

THINK BIGGER.
 
Katika mapokezi na mkutano mkubwa uliofanyika Bukoba mjini tarehe 19 Juni 2013, sikudiriki kumkashifu mtu yeyote,chama chochote na wala kusema kama vielezavyo baadhi ya vyombo vya habari.Mimi binafsi,sina adui bali ninao watu ambao hunipa changamoto za maisha kama ilivyo kwa binadamu mwingine yeyote.

Hiyo ndo dharau ya Kihaya!
Nawashangaa wahaya wengine wanaojikomba kwa watawala wa CCM!
Maneno kama hayo kule BK husemwa na mtu aliyeshiba dharau dhidi ya wanaojidhania kuwa wababe wake!
Hongera Lwakatare..
 
Mchuma janga hula na wa kwake - CDM iko ICU na pindi wananchi watakapoamka 2014 kinakufa kibudu - hamna sera na kwa kuanzia tu kimesababisha maafa na tunaona ukaidi dhidi ya vyombo vya dola nk. Hakuna chama kitachoweza kushika hatamu kwa kudhalilisha amri za vyombo vya dola. CDM should respect orders and laws.
 
Back
Top Bottom