Na hata Emanuel Nchimbi kasema hivyo.
Hii katiba Kwa sasa imepitwa na wakati ila Watawala wanaopenda kutumia mabavu hawaoni haja ya kurekebisha Katiba ILIYOPO maana inalinda mapungufu yao.
Ninaamini Nchimbi atarudi kwenye siasa baada ya kuwepo Kwa Katiba mpya na nina Imani anaweza kuwa Rais Mpya...
Kwa hakika tumefika Kwa sababu ya mapokezi ya Imani za kigeni na kuacha asili yetu. Huo ndo ulikuwa mwanzo wa Utumwa ambao mpaka sasa tumetekwa.
Walihakikisha wanateka nyanja kuu ambazo ni Spirit and Soul baada ya hapo mind and body zikafuata na ndo hicho kinaendelea hapa.
Imani za kigeni...
Huwezi kuzuia mafuriko Kwa kiganja cha mkono.
Let Let the water flow along its natural course.
Kila kitu kimepangwa Kwa ustadi mkubwa kwa namna inavyotokea.
Mimi ni Msukuma 💯 Miaka 25 iliyopita niliwahi kuishi Kwa Wasukuma wenzangu na Kwa bahati nzuri Kwa kuwa nilizaliwa na kukulia mjini, na pia mazingira ya shule nilizosoma, lafudhi yangu sio ya Kisukuma japo najua kuongea Kisukuma vizuri sana.
Sasa nilipokuwa nafanya shughuli zangu huko kwenye...
Hii ni moja ya Mila Bora kabisa nchini.
Anachagua anayempenda na kama hayupo kwenye kundi like hawezi kuchagua mtu asiyempenda.
Na ndo maana ndoa za Wasukuma zinadumu sana tofauti na wastaarabu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.