bless on
JF-Expert Member
- May 22, 2026
- 733
- 1,714
JINSI KAMPUNI YA PEPSI ILIVYOMILIKI JESHI LA SITA KWA UKUBWA WA VITA DUNIANI! 🥤⚓🚀.
Mwaka 1989, kampuni ya soda ya Pepsi iligeuka kuwa mbabe wa kijeshi baada ya kumiliki nyambizi (submarines) na meli za kivita kuliko nchi nyingi duniani. Hii ilitokea baada ya nchi ya Urusi (Soviet Union) kuwa na kiu kali ya Pepsi lakini wakawa hawana fedha za kigeni (Dola) za kulipia soda hizo.
Mchezo mzima wa ujanja wa kibiashara ulikuwa hivi👇
Warusi walizipenda sana soda za Pepsi, lakini pesa yao (Ruble) ilikuwa haina thamani nje ya nchi. Mwanzoni walikuwa wanajilipiza kwa kuwapa Pepsi pombe kali ya Vodka, lakini kiu ilipozidi, Vodka ikawa haitoshi tena kulipia mamilioni ya kreti za soda walizotaka.
Ili soda ziendelee kuingia, serikali ya Urusi ilifanya uamuzi wa dharura wa karne. Walimkabidhi bosi wa Pepsi meli 17 za kivita, nyambizi 3, na meli kubwa za dharura kama malipo! Kwa muda mfupi, kampuni hiyo ya vinywaji ikawa na jeshi la majini la 6 kwa ukubwa duniani.
Pepsi hawakuwa na mpango wa kwenda kupigana vita; walizichukua zile meli na nyambizi zote hadi Sweden na kuziuza kama vyuma chakavu (screpa). Hapo wakavuna mamilioni yao ya Dola na kuendelea na biashara yao ya soda.
My take:
Kwenye ramani ya kutafuta mshiko, usikariri njia moja tu ya kulipwa. Fursa ikitokea, kuwa na ubunifu na uwe tayari kugeuza hata fursa isiyo ya kawaida kama silaha za kivita kuwa mtaji wako wa biashara.
===
The exchange of goods and services predates the use of money and is believed to have developed in the first human societies. Today, bartering is usually associated with countries in turmoil.
Take fisherman in Venezuela who now swap their catch for other food stuffs or medicines, because after years of hyperinflation the country's currency is now nearly worthless. Or the bartering networks that emerged in Greece at the height of its financial crisis eight or so years ago.
However, it is not just individuals who continue to engage in bartering, it is also used by governments. And again, this is often the case when a country is facing financial woes and isolation on the world stage, such as Venezuela or Iran.
For both countries bartering has enabled them to get around US-led economic blockades.
Bartering also continues to occasionally be used by companies, such as Indonesian aircraft maker Industri Pesawat Terbang Nusantara (IPTN) agreeing to trade two of its transport aircraft for 110,000 tonnes of Thai sticky rice back in 1996. That was all the Thai buyer had to offer.
And in an even more eye-opening historic example, back in the 1970s US giant Pepsi traded its soft drink for Soviet tomato paste, so it could enter the USSR market. Pepsi, which owned Pizza Hut at the time, spread the tomato paste across its pizzas in western Europe. It also bartered its fizzy drink for Russian vodka, and even Soviet warships, which it sold on for scrap.
Swedish chart-toppers Abba did something similar in the Soviet Union, where they earned royalties in the form of fruit, vegetables and crude oil, which were then sold on the global market.