Recent content by Nyabwire

  1. Nyabwire

    Dawa ya kitambi hii hapa

    kama unaweza ku swim ni zoezi zuri sana.
  2. Nyabwire

    Dawa ya kitambi hii hapa

    simply avoid anything with white flour and sugar...substitute honey for sugar if u can
  3. Nyabwire

    sheria ya mabadiliko ya katiba

    jamani naombeni mwenye link ya sheria ya mabadiliko ya katiba kwa kiswahili...asanteni sana.
  4. Nyabwire

    Love messages

    hiyo nayo ni advice,i have the right to take it or leave it!thanks.
  5. Nyabwire

    Love messages

    angekua wa kwako ungefanyaje?ungepigana???halafu? ndio niko hivyo,si mtu wa ugomvi na wala sijui kugombana...mambo ya kutukanana na watu kwenye simu mwishowe wakuvunjie heshima huwa sitaki kabisa.
  6. Nyabwire

    Love messages

    nami nimeshangaa!!!!
  7. Nyabwire

    Love messages

    love messages namtumia sana...sijui nifanye nini! na hayo mengine anapata
  8. Nyabwire

    Haki ya urithi

    next time tumia kiswahili,naona lugha gongana hapo...english kama haijakaa vizuri vile...
  9. Nyabwire

    Kipi bora: LLM Vs Law school?

    dah,nami nimefaidika,nilikuwa nataka kubypass law school kumbe ni muhimu!!!!!
  10. Nyabwire

    kuna sheria gani inayowasaidia Watanzania waliofunga ndoa na foreigners inapotokea kudhulumiana haki

    kama anaweza kwenda huko nchini kwa huyo mwanaume kumsue ni vyema,wataangalia tu sheria za nchi waliyofungia ndoa zinasemaje basi...
  11. Nyabwire

    kwa hili sheria inaeleza nini?

    huyo mkaka anaweza vunja uchumba na kudai mahari yake.afungue kesi ya madai mahakamani...
  12. Nyabwire

    Kujenga kwenye kiwanja cha mtu

    mara nyingi watu hukubaliana kodi kwanza,halafu wanakubaliana ajenge hapo kwenye kiwanja baada ya kumaliza huangalia gharama ni kiasi gani then wanaangalia hiyo kodi itacover hizo gharama kwa muda gani,kama ni mwaka au miaka kadhaa.halafu jamaa anafanya hapo biashara mkataba hilo duka au fremu...
  13. Nyabwire

    Cream ya kuondoa makunyanzi - mkono wa sweta

    makubwa haya.dunia hii haikosi vioja.
  14. Nyabwire

    Cleopa Msuya: Ya Tunisia yanaweza kutokea Tanzania

    ha ha haaaaa,wakati unafanya hilo uwe karibu na gari la zima moto...
Back
Top Bottom