Kipi bora: LLM Vs Law school?

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
455
Wadau naomba mawazo yenu..mtu anamaliza LLB mwaka huu, uamuzi mzuri zaidi ni upi kati ya kupiga masters na kwenda law school?
 
yap na mimi nilikuwa na mawazo hayo ! tunaomba wana jf watushauri kulingana na jinsi wanavyoona trend ya soko inavyokwenda, au kama inawezekana vyote kusomwa PGDL & LLM simulteneously pamoja na advantages na disadvantages zake pamoja na kutupa testmonials za successive key people.
 
Nenda Law School kwanza ukishavuzu ndo usome masters itakusaidia
 
Mkuu nenda kwanza Law School maana kwenye hii fani ya sheria kinachomatter kwa sasa ni usajiliwe na kuwa na muhuri wako. Masters ni kwa wale ambao wanapenda kuwa more academician na sio kwenye practice ila ukitaka practice nenda law school
Wako wengi japo sina takwimu sahihi wapo na hapa nina nilipo wako kama watatu wote wamepitia law school na wamesajiliwa
though ugumu wa law school unakutana na wale wale lecturers wa pale UDSM wanoko na ndo maana watu wanaona sana ni bora kwenda mastares
 
Wadau naomba mawazo yenu..mtu anamaliza LLB mwaka huu, uamuzi mzuri zaidi ni upi kati ya kupiga masters na kwenda law school?

Hivyo ni vitu viwili tofauti(sina hakika kwa nini unavilinganisha kwa ubora....labda ungeuliza kipi kitangulie). Na pia inategemea unataka kufanya nini (kazi gani?). Unaweza kuta pengine huitaji LLM wala hiyo Law School!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Law school kwa mwanasheria ni sawasawa na CPA kwa muhasibu kwani hata akiwa na Msc ya Accounting and Finance bila hiyo kitu bado hatambuliki km ni muhasibu aliyefuzu..
 
law school ina umuhimu wake, nlishasupervise wanafunzi wengi wa vyuo wanapokuwa intern na hawa wa law school kwa kweli kazi ni kubwa kwani shuleni wanajifunza mambo machache sana, wengi wanakuwa hawajui hata kuandika plaint, civil procedure na criminal procedure inakuwa ngumu kuipractice, mtu kama huyo akifanya bar exam bila kupitia law school hata wanapokuja mahakamani wanakuwa vituko at least law school imesaidia kukwamua wengi, ule mwaka una thamani sana kwa mtu anaejituma na akifaulu vema anakuwa na upeo mzuri,
kama unataka LLM soma lkn ukishamaliza law school itakuwa na faida zaidi,
najua mtaniuliza umesupervise wapi mm nimefanya kazi kwa muda ktk field ya sheria nkasoma post graduate hapo hapo bongo ila kwa sasa nasoma post ingine huku kwa wabeba box kuongeza elimu zaidi ya sheria nyinginezo ili nkirudi niwafaidishe zaidi wadogo zetu.
 
yap na mimi nilikuwa na mawazo hayo ! tunaomba wana jf watushauri kulingana na jinsi wanavyoona trend ya soko inavyokwenda, au kama inawezekana vyote kusomwa PGDL & LLM simulteneously pamoja na advantages na disadvantages zake pamoja na kutupa testmonials za successive key people.

vingereza vya wanasheria wetu siku hizi ni full kwikwi! anyway!
 
Law school kwanza..ili uweze ku practise sheria lazima uwe umepita law school kwanza. manufaa ya kwenda law school ni kwamba unajifunza technicalities za sheria na drafting of different legal documents, pia field ya law school itakusaidia sana kujua vitu kwa vitendo kwa vile utakaa kote kwenye law firms na mahakamani
 
<br />
<br />
Trust me,kuna baadhi ya college ukigraduate unakuwa competent katika hayo yote unayosema.kama mimi,sijisifii ila tangu 1st year nimekwenda courts,lawfirms etc kufanya field.na legal drafting ni core course tangu 1st yr mpk 4th yr..na huko field tumekuwa na watu wa law school lakini wakati mwingine unademonstrate exemplary performance kuliko wanaotoka law school,na hadi wenyewe wanaappreciate...anyways,madama mtu anataka kuwa advocate na kupractice,law school is inevitable.
 
madau, hii mada yako ipo hiv,
masters is above level, law school ni sawa na postgraduate in law practice, mpaka hapo tofauti umeshaiona. sasa basi kwa upande mwingine ni kwamba, law school is qualification, in the sence that even if u have masters degree, stiil ur not yet qualify to practice law in our jurisdiction and if u have bachelor degree and law school, ur direct qualify to practice law.
So, even u decide to go for masters bt remember, ur compelled to undergo law school program just to practice law as to ur masters or otherwise.
LAW SCHOOL NI LAZIMA ILI UWEZE KUPRACTICE SHERIA YAKO, KAMA NI LLB,LLM OR PHD.
 
I agree wit you ....ila kwa system yetu ya sasa hivi you cant escape LST na utashangaa wengi wanaoshindwa kufaulu ni wale wakali....

<br />
<br />
Trust me,kuna baadhi ya college ukigraduate unakuwa competent katika hayo yote unayosema.kama mimi,sijisifii ila tangu 1st year nimekwenda courts,lawfirms etc kufanya field.na legal drafting ni core course tangu 1st yr mpk 4th yr..na huko field tumekuwa na watu wa law school lakini wakati mwingine unademonstrate exemplary performance kuliko wanaotoka law school,na hadi wenyewe wanaappreciate...anyways,madama mtu anataka kuwa advocate na kupractice,law school is inevitable.
 
NDUGU YANGU HAPO UNATAKIWA KUPIGA MAHESABU SAWASAWA,
Angalia malengo yako nini, je kwasasa unataka kupractice au uwe just to the ofice tu .
Je hiyo LLM YUPO MSHEFA WA KUKUSPONSOR AU KIVYAKO VYAKO TU.
LOOK ON IT BABAA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom