Haki ya urithi

Mlabondo

JF-Expert Member
Oct 13, 2010
216
103
Its a long story. I once had a very loving Dad. We used to leave in nairobi then back to Moshi kilimanjaro. Our Dad got a scholarship for 4 years in Canada. Fortunately he went with our mum. On coming back they hard a son. Dad was posted dar es salaam. We decided we stay at Kibosho an excuse that he was not accomodated. For a while he got a house at upanga united Nation road.
I had a cousin sister who was at muhimbili and had a Friend called Agatha Haule (she was a total bitch). My Dad had a new love a lady energetic and had a hobby of going to cinema especially drive inn. Some fellows know about it. Guess who introduced my Dad to his lover. Its cousin Maria Vicent ruttaro.
My Dad was fortunate to 2 daughters to who i hate a lot. As im writing this story I feel very angry and a devil of vangiance is trying to over rule me. Next time I will finish up my story
 

Barubaru

JF-Expert Member
Apr 6, 2009
7,161
2,316
Stori japo haijakwisha lakini kuna mengi hapo.

Lakini msingi mkuu wa Urithi ni kuwa anayetakiwa kurithiwa ni lazima awe ameshakufa. Akiwa hai hakuna kurithi.

Lakini vile vile katika maelezo yako utakayoendelea kuyatoa. Tunaomba ufafanue kati ya hao aliozaa nao ikiwemo pamoja na mama yake. Je kuna aliyewahi kumuoa? kumbuka kuna ndoa za kidini, kimila na kiserikali. zote zinatambuliwa kisharia.

Pse go on.
 

daughter

JF-Expert Member
Jun 22, 2009
1,277
738
Barubaru,
kwani...kama baba amezaa na mtu na hawajafunga ndoa mtoto hana haki ya kurithi?
 

Nyabwire

Member
Jun 12, 2009
40
1
next time tumia kiswahili,naona lugha gongana hapo...english kama haijakaa vizuri vile...
 

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,828
1,658
Ukitaka kumalizia fanya haya
1.Tumia kiswahili
2.Anza upya story yako
 

Caren

JF-Expert Member
Feb 12, 2010
278
90
the way you put your story makes your dad very romantic to us lonely women.

Kama unataka tukusaidie acha hasira, chuki na uongee kwa ufasaha!! otherwise you will find that we sympathise with your dad! Usisahau he is sucessfull, educated na anaishi UPANGA which makes me, a woman who leaves in Bunju, who has never lived anywhere near Upanga, envious to get to know your dad better.

Ukitaka kumalizia fanya haya
1.Tumia kiswahili
2.Anza upya story yako

Y
 

daughter

JF-Expert Member
Jun 22, 2009
1,277
738
the way you put your story makes your dad very romantic to us lonely women.

Kama unataka tukusaidie acha hasira, chuki na uongee kwa ufasaha!! otherwise you will find that we sympathise with your dad! Usisahau he is sucessfull, educated na anaishi UPANGA which makes me, a woman who leaves in Bunju, who has never lived anywhere near Upanga, envious to get to know your dad better.Y

Caren we ni munoumaaa,ila kweli jaama ameandika na chuki nyingi kiasi anafanya tutake kumjua zaidi huyo baba
 

Barubaru

JF-Expert Member
Apr 6, 2009
7,161
2,316
Barubaru,
kwani...kama baba amezaa na mtu na hawajafunga ndoa mtoto hana haki ya kurithi?

Inategemea mutatumia sheria gani katika kuamua mirathi hiyo.
1. Taratibu za Serikali hapo hakuna shida atapewa urithi ili muradi alete ushahidi wa kuthibitisha kuwa ni mtoto wa marehemu pasi na shaka.
2. Sheria za dini kama Uislam. hatambuliwi na hapati urithi.
3. taratibu za kimila zinategemea na mila na desturi za kabila au jamii anayotoka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom