Dawa ya kitambi hii hapa

Tripo9 mbona kama unalijua suluhisho la tatizo lako??? Anza mazoezi ya kukimbia asubuhi kama kilomita 50 kwa siku, ni simple and affordable!!

Matokeo utayaona mapema sana. Usikubali mtu akikwambia punguza kula, labda vyakula vya mafuta na sukari kama bia, soda and chocolates!!
What is the best time to do exercise? Asubuhi au jioni? Kukimbia km 50 sio kitu kidogo. Lazima ujipange kweli
 
Jamani tumbo langu naona linaanza kua kubwa. Nadhani hukuninakoelekea nitakua naambiwa nina "Kitambi". I hate this.
Naombeni munishauri nifanye nini. Mimi wala sio mnene ni mwembamba tu wastani.
HINT: Sifanyagi mazoezi
Kama suala ni kufanya mazoezi naombeni wataalam munielekeze ni mazoezi gani nifanye.
Thanxini.

ongeza small house mbili kitambi kitaisha tu mkuu usihangaike hakuna dawa yake
 
Habar wakuu! Kitambi kinanianza na hadi watu wananambia hivyo japo ni mwembamba sasa naomba mnisaidie jinsi ya kukidhibiti ikiwa ni pamoja na aina ya mazoezi ya kufanya.sikukuu njema!
 
Punguza vyakula vyenye wanga, mafuta na protein nyingi. Unatakiwa kule vyote ila siyo vingi na mara kwa mara. Fanya mazoezi ya kutembea, kuogelea na viungo kama sit/up. Beer pia ni tatizo kubwa sana. Binafsi niko kwenye diet sasa hivi sijala ugali, wali, viazi, nyama, beer, mafuta, chumvi wala sukari kwa mwezi sasa na mabadiliko nina yaona.
 
Asante mkuu Bia situmii na ntazingatia kuhusu msosi! Na nimeanza mazoez ya kukimbia na kuna zoez la kukata tumbo nilishauriwa nilifanye ila ni gumu kiuno kinauma je ni kwel linasaidia?
 
Teh teh teh kitambi ni matokeo ya ulaji mbovu.Acha kula ovyo.Funga husaidia kuapunguza sana kitambi.
Fanya mazoezi ya tumbo ila kuwa mwangalifu kuna mazoezi mengine yatakuumiza sana na kama utafanya mazoezi kwa kutumia rola unaweza pata maumivu ya mgongo na kiuno ya kudumu.
 
Mbali ya ushauri wa wadau mbalimbali hapo juu, pia jitahidi sana kuwa na mazoea ya kukimbia au kutembea at least siku 4 kati ya saba za wiki kwa kilomita at least 3 hadi 4; Vile vile punguza mazoea ya kula kwa hamu badala ya kula kwa njaa; huwa wanashauri mlo mmoja tu kwa siku ndio uwe mzito kuliko mingine; na ikiwezekana, mlo wa mwisho usizidi saa tatu usiku, unless it becomes necessary kama masuala la mwaliko wa harusi n.k; ikumbukwe pia kwamba kula kwa wingi sio tatizo, tatizo ni kama haufanyi mazoezi;
 
Asanten sana wakuu kwa ushauri wenu mzuri ila je hakuna zoezi la direct la kuondoa/kupunguza kitambi zaidi ya mazoezi ya jumla kama kukimbia?
 
hata mimi aisee mwaka unaokuja,nimeweka moja ya malengo ni kupungua uzito.
 
Punguza vyakula vyenye wanga, mafuta na protein nyingi. Unatakiwa kule vyote ila siyo vingi na mara kwa mara. Fanya mazoezi ya kutembea, kuogelea na viungo kama sit/up. Beer pia ni tatizo kubwa sana. Binafsi niko kwenye diet sasa hivi sijala ugali, wali, viazi, nyama, beer, mafuta, chumvi wala sukari kwa mwezi sasa na mabadiliko nina yaona.

khaa....sasa unakula nini.....?
 
We punguza kula sana,kunywa maji ya vuguvugu lita 3 hivi,na kimbia,hicho kitambi kitaisha tu.
 
Asante mkuu Bia situmii na ntazingatia kuhusu msosi! Na nimeanza mazoez ya kukimbia na kuna zoez la kukata tumbo nilishauriwa nilifanye ila ni gumu kiuno kinauma je ni kwel linasaidia?

hayo mazoezi yanaweza kukuletea matatizo kama damu kuvujia ndani.
 
Jamani kitambi nilichonacho kinanisumbua sana !

Yaani hata wakati wa mechi sifurahii kiviiile , kwa sababu ya kitambi !

Naombe njia nifanye nini ili niondoe kabisa hiki kitambi !
 

Attachments

  • kitambi kabla na baada !.jpg
    kitambi kabla na baada !.jpg
    9.4 KB · Views: 240
Back
Top Bottom