Cream ya kuondoa makunyanzi - mkono wa sweta

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Jamani, nasikiliza power breakfast ya Clouds FM. Mara nasikia kuwa serikali ya SA imeridhia uuzwaji wa ngozi iliyokatwa kutoka kwa watoto wadogo -tohara. Ngozi hii hutumuka kutengeneza cream maalum ya kuondoa wrinkles hasa kwa wanawake. Habari ndo hiyo..................
 
Wasije wakawageuza ndugu zetu wa kule Mombasa na Musoma dili. Waliokuwa wanawatafuta Albino naona sasa watahamia huko maana zipo mpaka za Watu wazima.
 
End of the world ndo iyoo imefika kama watu wanatumia ngozi ya mtu kutibu nomaaaaaaaaaaaaa.
 
BTW, huku kwetu kanyigo/ katerelo hawapati kitu na wateja wa hiyo cream hawapo maana kwetu ngozi ni soft.
 
Back
Top Bottom