Recent content by Nyabutoro

  1. Nyabutoro

    JamiiForums Tanzania Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

    Achaneni na dini za wazungu, rudini katika asili yenu
  2. Nyabutoro

    JamiiForums Tanzania Tabia ya sherehe kupikiwa pilau iachwe

    Nanyi waafrica masikini mmezidi na sherehe, mnachukua hadi mikopo kwa ajili ya sherehe, mkome.
  3. Nyabutoro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naachana na mke wangu rasmi

    Huyo kajua udhaifu wako, tena huyo hata mzigo unapewa kwa masharti.Usimfukuza ila fanya yafuatayo: 1. Acha kufanya kazi zote za kike kama kupika na kufua, kuwa mwanaume wa kiafrika, 2. Mtafutie mchepuko na jitahidi aujue, hii huwa ndio dawa yao, 3.Acha kuomba omba misamamha isiyo na umuhimu hata...
  4. Nyabutoro

    JamiiForums Tanzania Ramadhani na Kwaresma kugongana je is it a coincidence? The evidence says No!!!

    Hata wewe huna fikra mpya, maana hata ukatoliki au a Uluteri au aina yoyote ya dini ni kama chama cha siasa kuna wenyewe
  5. Nyabutoro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemwambia binti ambaye ni jirani yangu haina maana "kunyimana" sisi ni kitu kimoja amechukia!

    Acha uhuni, huo ni uhuni tu.
  6. Nyabutoro

    JamiiForums Tanzania Juhudi bila kuzingatia kanuni ni kujitesa tu

    Nimekuelewa
  7. Nyabutoro

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbunge wa Ngorongoro (CCM): Maisha yangu yapo hatarini

    wanamtengenezea safari nyingi nyingi sana yaani matukio kila kukicha kiasi kwamba hana kabisa muda na wanaoendesha serikali ni genge fulani lipo Kule kunani. Yaani Rais Samia ni mzalendo sana tena sana. HII NI KWELI, SASA NANI AMWAMBIE UKWELI MAANA HAWAMPI HATA MUDA WA KUSOMA VITU.
  8. Nyabutoro

    JamiiForums Tanzania Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

    Usiigombanishe TEC na CCM, nenda kivyako
  9. Nyabutoro

    JamiiForums Tanzania Prophet Sanga 2022: Niliona mawe yenye moto,nikaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, ikakaa, tuombe

    Yeye alitabiri tu, wala usimtukane, kwa yanayoendelea ni kama vile kuna kitu kinaelekea kuwa kweli
  10. Nyabutoro

    JamiiForums Tanzania Kuzuia habari Waraka wa Maaskofu kuripotiwa kwenye Vyombo vya Habari ni uminywaji wa kiwango cha juu sana katika utoaji habari

    Tena watu wanayaamini makanisa kuliko vyombo vya habari. Washauri wanaendelea kumpotosha Mama
  11. Nyabutoro

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

    Usipotoshe, wanapewa ruzuku kwenye maeneo ambayo Serikari imepungukiwa na uwezo wa kutoa huduma kwa jamii mfano Afya, elimu nk. Na haya madhehebu yanendesha kwa niaba ya Serikari mf KCMC, Ndolage Hospital, Bugando nk. Usipotoshe ukweli
  12. Nyabutoro

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nikutakie kila la heri wakati huu mgumu kisiasa

    Wewe ndio wale wale wachawi wa Mama
  13. Nyabutoro

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nikutakie kila la heri wakati huu mgumu kisiasa

    Nimelikubali sana andiko lako, ni kweli mama ana nia njema na watu ila amezungukwa na manyang'au.Kuna umuhimu wa kuwachukulia hatua kwa mujibu wa taratibu. Wameishakosea, badala ya kuchutama wanakimbia
  14. Nyabutoro

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki (TEC) wameanza, huenda wakafuata waprotestant (CCT), wapentekoste(PCT) na wasabato. Rais Samia nakushauri achana na DP world!

    Wewe na wenzio mna agenda za siri kuelekea 2025, lakini kama kweli mnamtakia mema Mama yetu kipenzi aliyetufungua minyororo ya utumwa ya awamu ya 5 mwambieni ukweli. Msitumie udhaifu wake wa upole uliopitiliza kumwangamiza.Sala za watu hazitawaacha salama.
Back
Top Bottom