Kuomba msamaha hovyo hovyo yaani bado kidogo aanze kukupa sketi na magauni yake alafu yeye awe anavaa hizo suruali na suti zako.
Mwanamke havitiwi na mwanaume mtiifu(weak) kama wewe bali huvutiwa na wanaume harsh/strong kuna mtu yupo nyuma yake ambaye ana vigezo vya strong kuliko wewe so hapo cha kufanya mkalishe kikao kabla ya kuamua kumuacha unguruma mwambie kuanzia leo ,kununa,kuzila na kuondoka kienyeji kufe la sivyo ukienda usirudi kubabako zako na pia komesha ishu ya kujishusha shusha na kuomba misamaa hovyo as if we ndo umeolewa.
ILI UWEZE KUFANYA HAYO INABIDI UWE TAYARI UMEMFUTA MOYONI MWAKO MAANA HUYO AMESHAJUA WE HUNA MAAMUZI YA KUMUACHA