Recent content by NusuMutu

  1. NusuMutu

    Soma magazeti ya leo jumanne

    utani huo sasa..
  2. NusuMutu

    msaada mwlm nyeler kama wametoa post jaman

    wewe sijui kama hata huko darasani kama unazo akili!
  3. NusuMutu

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Bwana mdogo, hayo ni mapepo.unamilikiwa na mapepo,majini mahaba.Tafuta huduma ya kiroho yenye nguvu ufunguliwe.unaweza dhani ni matatizo ya kisaikolojia ama hivi ama vile but believe you me, you have been possessed by demons.Ni Yesu Kristo peke yake ndio anaweza kukufungua na kukuweke huru...
  4. NusuMutu

    Kikwete: Ipo misikiti mitatu jijini Dar-es-Salaam ilinisomea itikafu ili nife!

    Ni kwa damu ya Yesu Kristu wa Nazareth tu ndio inayoponya taifa hili.si kwa ibada za wafilisti wala iti..ninisijui za manefili!
  5. NusuMutu

    Kuhusu unaoitwa uponyaji na tv zetu

    Ndugu zangu hata mimi nilikuwa na mawazo na kejeli kama za akina 'Englibertm' na 'The Boss' Lakini siku yangu ilipofika kweli nilijua kuwa YESU NI BWANA NA HABADILIKI.YESU aliyeponya watu waliogusa pindo za nguo yake,Hata leo anaponya.YESU aliyeponya kupitia kivuli cha mtume wake hata leo...
  6. NusuMutu

    Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

    MWALIMU avae tena uniform? Kilanja mkuu na wanafunzi ndo wanavaa sare..., Siku hizi mwalimu kama mwanafunzi,kiranja mkuu hana sauti mbele ya mwanafunzi fedhuli na mtoro... Waache wote wavae uniform!
  7. NusuMutu

    Mh. Mwakyembe,treni mbona tena leo halisimami kamata?

    Salaam ewe mheshimiwa! Pole kwa majukumu (yako pamoja na ya wale wanaolala na kukusubiri ufikirie badala yao). Treni la mjini aka treni la Mwakyembe lishaanza kuboa wateja hasa wa maeneo ya kariakoo na maeneo jirani maana linatoka posta limejaa pomoni na kutuaacha 'wananchi' macho kodo. Dereva...
  8. NusuMutu

    Msaada:- Ndoto hii inaninyima raha

    Pole sana giLEsi. Ni kweli kuna ulimwengu usio onekana kwa macho na ndio wenye nguvu ktk maisha yetu. ndoto hiyo ina uhusiano na ulimwengu huo (wa roho).mimi bado ni mtoto na msaada wangu pengine ni kukwambia fanya maombi ya rehema kama walivyo shauri ndugu na ukiweza hudhuria mafundisho ya...
  9. NusuMutu

    Nchi inayumba wakati serikali iko likizo

    Serikale ipo 'hanemun' !
  10. NusuMutu

    Dawa ya kukojoa mkojo wa manjano (yellow)

    Lakini hiyo si ndio rangi ya mkojo? Au njano imepitiliza kama rangi ya yunifom za ze magambaz?
  11. NusuMutu

    Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

    Magugu aliyopanda mwinyi yametiwa mbolea na kujengewa 'skim' za kuyamwagilia katika utawala huu. Lakini Mungu bado ni mwaminifu
  12. NusuMutu

    Mchumba wangu mchawi

    'Wedha' o not kwao ni wachawi au yeye ndo mchawi zote sio hoja,hoja ni 'MKE MWEMA HUTOKA KWA BWANA'. Mwombe sana Roho Mtakatifu akuoneshe mke wako mwema,wala usilazmishe awe yeye. UCHAWI NI ROHO CHAFU ZILIZO FUKUZWA MBINGUNI. Roho hiyo ya uchawi huwa inarithishwa kizazi mpaka kizazi.CHUKUA...
Back
Top Bottom