Dawa ya kukojoa mkojo wa manjano (yellow) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya kukojoa mkojo wa manjano (yellow)

Discussion in 'JF Doctor' started by mjita, Oct 19, 2012.

 1. m

  mjita Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jamii naombeni msaada wenu nina tatizo la kukojoa mkojo wa njano sana kwa muda wa miaka mitatu sasa nimekwenda hospitali lakini inaonekana sina tatizo, naomba kujua dawa yake nn wana jamvi. Tatizo hili limekua ni kero kwangu hata ninywe maji mengi vip baada ya muda mfupi tu hali inajirudia tena.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Huenda Unakunywa vinywaji strong sana vinavyosababisha dehydration kubwa kwenye mwili!
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,010
  Likes Received: 3,194
  Trophy Points: 280
  Ina wezekana we ni mshabiki damu wa Yanga au CCM.

  Anyways, kunywa maji kutwa mara 12, jumla lita 3 kwa kwa siku.
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kunywa maji wewe
  kuna watu kunywa kwao maji ni bahati mbaya...
   
 5. awp

  awp JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mjita jitahidi kunywa maji mengi sana usichoke, hali itabadilika
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Maji na kutafuna matango mengi ni suluhu ukinywa dawa yoyote unaongeza tatizi
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  labda ni aina ya mkojo.....kwani kuna aina ngapi za mikojo...?
   
 8. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lakini hiyo si ndio rangi ya mkojo? Au njano imepitiliza kama rangi ya yunifom za ze magambaz?
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sio lazima ukikojoa iwe mkojo pia!
   
 10. e

  evvy Senior Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kunywa maji mengi sana!...changanya na glucose!..
   
 11. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  Kunywa maji mengi na punguza kula vyakula vyenye protini nyingi...
   
 12. K

  KENTUS Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  POLE KWA TATIZO LAKO
  Jitahidi uwe unakula matango, tikitimaji, kunywa maji ya kutosha , achana na mipombe kila siku(km ni mshirika) au wasiliana nami km unahitaji tiba mbadala kwa:- ruhazwentaki@gmail.com , ruhazwentaki@yahoo.com au 0755569494
   
 13. m

  mjita Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Situmii pompe ya aina yoyote wana jf na ninatumia maji ya kutosha mpaka kero ila baada ya muda mfupi hali inajirudia. Asanteni kwa ushauri wenu
   
 14. J

  Joseph Isaack JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kunywa maji mengi na fanya mazoezi sana ili kuruhusu taka mwili zitokee ktk milango kama kwenye vinyoleo.
   
 15. M

  Mwera JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi napenda mnisaidie kuna nduguyangu wa kiume anaumwa maeneo ya chini ya kitovu kwenye kinena,nakila wakati anahisi kukojoa na akienda kujisaidi haja ndogo anapata mkojo kidogosana,je nini matibabu yake?na itakua ni tatizo gani?inamsumbua zaidi ya miaka 10 sasa,msaada wenu wadau.
   
 16. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,959
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Unaweza kunywa maji mengi bila ya mpangilio. Unatakiwa kila baada ya masaa mawili unywe maji glass moja kubwa au nusu lita ya maji kunzia saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku.
   
 17. Matokeo1

  Matokeo1 JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hata mimi nlikua na tatizo kama hilo mara tu nlipokuj Dar ila maji mengi yalikua tiba baaaabu! wa jf naomba mnisaidie jinsi ya kutupia title kwenye jf. nawasilisha wakuu.
   
 18. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,721
  Likes Received: 7,977
  Trophy Points: 280
  Hivi si amesema hata akinywa maji au ni maji gani haya unayoshauri wewe?
   
 19. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,721
  Likes Received: 7,977
  Trophy Points: 280
  Nina hofu kuwa shida yako iko kwenye figo. Nikushauri hivi, tafuta mchaichai utakusaidia. Acha kunywa kahawa na chai na kitu chochote chenye caffein.

  Na kama unatumia chumvi kwa wingi punguza matumizi ya chumvi.
   
 20. Masaningala

  Masaningala JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 539
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Fomula ya kunywa maji ni: bordy weight x 0.04= quantity in litres (Uzito wa mwili mara 0.04= jumla ya lita unazotakiwa kunywa kwa siku). Kwa mfano kama una uzito wa kilo 90. Utatakiwa unywe lita 3.6. kama una uzito wa kilo 60 utatakiwa unywe lita 2.4 kwa siku n.k.
   
Loading...