Sijaona ubaya wa rais wa TZ kutembea pale anapotaka, kwani marais wote duniani wanafanya ivo. Kukubali mwaliko pekee ni kuonesha Heshima ya taifa lake, na kuondoka kwake haimaanishi kama shughuli za serikali zimesimama, WAZIRI MKUU hamujui majukumu yake kama rais hayupo?
Wale wooote wanaomlaumu kikwete kwa kuenda kutembea ni wanafiki tu, hata nyie mkiwa rais hamutokataa mwaliko wowote hata kama kuna matatizo nchini kwenu! Mnatafuta la kumlaumia tu mwenzenu, nobody is perfect! Mnajifanya wafuasi wa slaa mnaona ndio atakaeleta maendeleo katika nchi, mmekaa kama wageni katika siasa, mpeni madaraka sasa muone atakavoranda na yeye.