Mkuu asikudanganye mtu hakuna bank inayoweza kukupa asilimia kubwa unless una mipesa mingi mno. nakushauri uwaona taasisi moja inaitwa UNIT TRUST OF TANZANIA inayoendesha mifuko ya UMOJA FUND, WATOTO FUND, JIKIMU FUND na WEKEZA MAISHA FUND. Wako SUKARI HOUSE GHOROFA YA PILI pale karibu na...
Yawezekana amekuweka kwenye mzani, piga moyo konde then tupa tena kete. be a man, kuwa na roho ya paka then ukiona anachomoa tena m-delete then kama na yeye atakuwa interested atakuja kukutafuta mwenyewe.
Yap yap ni kweli kabisa haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa halafu uone maendeleo. Mch Msigwa mwaga nondo, mpaka 2015 lazima watanzania watakuwa wameamka na magamba yote lazima tuyapige chali. Hapana akili ndogo kuongoza akili kubwa mana ni sawa na kipofu kuongoza lazima mtadumbukia wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.