Ni kweli hata wanaoana wakiwa na umri wa zaidi ya mhusika i mean over 24 wanachemsha..
But how do you see 24 kwa 21?...hawa bado ni watoto jamani..
Akili za kufanyia kazi na akili za kutunza familia au kuendesha ndoa kwangu mimi naona kuna tofauti..
Ndoa is like an institution ndugu zangu..please habby and your gal be mature enough before you get in..
Unaposema sehemu ya kukaa ipo na yeye anaweza ku-finance msosi unamaanisha nini?
Kama hufanyi kazi, huwezi kujilipia nyumba (unless una ya urithi) na huwezi kununua chakula achana na habari ya kuoa. Kama unaishi alone na unaweza kujikimu, tualike tuje harusini. Otherwise haipendezi ukaoa ukaendelea kukaa nyumbani, its a formulae for disaster!
Yeye yuko tayari kwa ndoa na wanawake walio wengi huwa wanapenda na huwa tayari kwa ndoa wakati wote, lakini wewe je? Moyo wako uko tayari? Akili yako imeridhia? Una kijikazi cha kuja kuihumia familia yako na kutunza heshima yako kama baba mwenye nyumba? Au ndo unategemea finance za misosi toka kwake alivyotabanaisha?
Kama majibu ni ndiyo, mi sioni tatizo, shirikisha ndg zako wa karibu na wazazi pia then jitwalie mwali ukahangaike naye! Umri si tatizo sana kama tayari wote mna upeo wa kutosha wa maisha na yeye ana mapenzi ya dhati kwako na si hamu ya kuolewa tu! Nilishawahi kuhudhuria ndoa zaidi ya moja mojawapo ikiwa ya mdogo wangu ambazo wahusika walikuwa na umri kama wenu na mpaka sasa bado zimesimama vzr.
Umepewa ya couples? Na nani?Yaan hata yeye anaweza kama mimi naona pesa yangu haitoshi. Nyumba nimepewa ndogo ya couples
Snowball u can imagine....mimi katika umri huo nishaingia ndoani tayari! hadi sasa nipo and nothing has hapenned. kama alivosema Kaunga umri haujalishi sana katiba inasema ukifikisha miaka 18 tayari we ni mtu mzima. jengine ni kuwa wanaweza kuoana wakatafuta pamoja, I mean ile mnaanza na stuli moja na kitanda, basi. Mapenzi yakiwemo, wala hakuna tatizo .