"CRAZY Things We Do For Love"...

"CRAZY Things We Do For Love"...

1. you know I am serious, if I really wanted to know I wouldn't ask you here and
2. You know I am not crazy and I wouldn't do crazy stuff. I leave that to my other personality (AshaDii) 🙂

Usitake nimwage siri dear.... Between me and you who is the Crazy one when in Love...:wink2: Nakubali nimekuzidi kiduchu tu!

Yes, I haven't felt like this for quite some time. Njoo basi kule kwetu tuongee niku-contaminate my mood. :wink2:

Naja Asap... hapa logging off soon.
 
hahahah..... I have noted...lol.Sasa AJ tell me something crazy you have done for love....lol
Adiii ... you know am not going to tel it here!! am happy of your honesty ... I really miss your inner Quality .. Its firm flowing total love.. I know am too rigid .. trying to intellectualizing even Love ...hah hah.. you know how to solve this?
 
I loved this.. "Critics are Our Friends, they tell us Our Faults" -Benjamin Franklin

AND

This this time when I come for sure ... will have Mario Puzo one!!

M offf G!!
 
Adiii ... you know am not going to tel it here!! am happy of your honesty ... I really miss your inner Quality .. Its firm flowing total love.. I know am too rigid .. trying to intellectualizing even Love ...hah hah.. you know how to solve this?

hahaha.... Umenifurahisha Pal... Intellectualizing Love can be kind of tricky.... BUT good for you I do know how to solve it. Ukirudi rasmi we will take this class in Private.... lol
 
Wadau katika maisha ya kila mtu ame-experience tukio fulani la kimapenzi ambalo hatokuja sahau kamwe. Binafsi nina tukio ambalo huwa nashindwa kabisa kulisahau.

Tukio hili lilinitokea Mwaka 2001, kiukweli niliumbuka sana, mtaani kulikuwa na dada mmoja(House maid) alikuwa ana sura mbaya sana na maumbile ya hovyo sana kiasi kwamba vijana mtaani tulikuwa tukimuonea huruma sana tukiamini hajawahi kutongozwa na mwanaume yeyote, hivyo mimi nikiamini mdada kama yule akipata mtu japo wa kumtania tania na kumsifia sifia atajisikia vizuri na atajiona na yeye hana tofauti sana na wanawake wengine.

Siku moja nilimuita (moyoni nikiwa simaanishi) nikamsifia sifia na kumwambia nimevutiwa naye ningependa siku moja nitoke naye out. Kilichofuatia sikuamini macho, alining'akia vibaya sana tena kwa sauti huku wapita njia wakisikia kwamba alikuwa ananiheshimu sana na hakutegemea kama nitaweza kufikia hatua ya kumtongoza akaniasa nitafute wanawake wengine yeye hana mda mchafu wa kushiriki mapenzi na vijana wa mtaani, kwani hapendi mazoea na vijana wa mtaani anawaheshimu kama kaka zake.

Story hii ilizagaa mtaa mzima ikawa Gumzo ikafika mpaka ndani ya familia yetu na mbaya zaidi iliniwia ngumu sana kuwa-convince wazee kwamba nilikuwa simaanishi pale mzee aliponionya niache tabia za umalaya nijikite zaidi katika masomo, mbaya zaidi hii ilipelekea mpaka nikampoteza hata Girlfriend wangu tuliyekuwa tunasoma naye chuo niliyekuwa nampenda kweli alikuwa akiishi mtaa wa tatu ila wakati huo alikuwa amesafiri mkoani na nilikuwa nina mpango kama vipi siku moja tuoane, hata yeye hii story ilimfikia na alithibitisha beyond resoanable doubt kwamba nilimtongoza yule house maid na alinitosa kwasababu ananiheshim, Girlfriend wangu aliniacha kwa ground kwamba kama amesafiri wiki moja tuu nimeamua kutembea na house girl wa mtaani itakuwaje tukioana na akasafiri kwa mda mrefu?

Je wee mdau ni kitu gani huwezi kukisahau katika maisha yako ya kimapenzi?
 
Duh! Pole binadam lazima uwe na historia ili kuweza kuwasimlia "wajukuu zako" kama utabahatika kuishi mpaka huko.Nitarudi baadae.
 
Mimi sitasahau pale nasoma shule ya msing nilikuwa napendana na msichana mmoja kila nikimuomba ananizungusha, sa siku alipokuwa kakubali alimtuma msichana ambaye alikuwa ndo namtumia namna ya kuwasiliana naye pale mana ndugu zake tulikuwa shule moja, akasema mwambie fazaa anipe basikeli yake ilinitangulie kule kwenye pori la shule kiasi kama 1 km ili nikale vinono...mara mwalimu mkuu akaniita kunituma nipeleke sijui kitu gani kwake tena ilikuwa umbali wake kama km 8 hivi nilibaki hoi nikamkosa huyo msichana tena sijamgusa mpaa nimeondoka Tanzania....Tulibaki kuwasiliana kwa njia za watu wakaribu yake kama wanakuja huku anasema msalimieni fazaa....Ahh msichana mwenyewe kaolewa Dar es salaam sasa hivi lakini sina contact naye na sidhani kama nashida naye tena sababu nimeisha owa na yeye kaolewa.
 
sasa we huoni kwamba labda huruma yako ingezidi sana na angekukubalia halafu ukampiga mshedede halafu akanasa si ndo ingekuwa noma zaidi.
 
Mimi sitasahau pale nasoma shule ya msing nilikuwa napendana na msichana mmoja kila nikimuomba ananizungusha, sa siku alipokuwa kakubali alimtuma msichana ambaye alikuwa ndo namtumia namna ya kuwasiliana naye pale mana ndugu zake tulikuwa shule moja, akasema mwambie fazaa anipe basikeli yake ilinitangulie kule kwenye pori la shule kiasi kama 1 km ili nikale vinono...mara mwalimu mkuu akaniita kunituma nipeleke sijui kitu gani kwake tena ilikuwa umbali wake kama km 8 hivi nilibaki hoi nikamkosa huyo msichana tena sijamgusa mpaa nimeondoka Tanzania....Tulibaki kuwasiliana kwa njia za watu wakaribu yake kama wanakuja huku anasema msalimieni fazaa....Ahh msichana mwenyewe kaolewa Dar es salaam sasa hivi lakini sina contact naye na sidhani kama nashida naye tena sababu nimeisha owa na yeye kaolewa.

Hahaa nimeipenda hii mkuu, lakini hujui huenda kuna kitu uliepushiwa na Mungu
 
Pole mkuu ila mi nafikiri ulitaka kukata kiu kidogo wakati demu wako hayupo maana kwa maneno ya mtaani wanasema demu mbaya ndio mtamu na maku yake inabana sana sababu hatongozwi saana na hata kugongwa hivyo hivyo kwasababu havutii. next time maliza kabisa si unaona umehukumiwa kwa kosa ambalo hukutenda
 
Duuuuuh_pole sana mdau,...ila jifunze_sio kila kitu unavyokidhania ndio kilivyo mkuu.......pole mkuu
 
mm nakumbuka kuna bnt moja nlmpenda sana toka akiwa standad 4, mm nkiwa la 7..nilpenda na alkuwa akjua ila ckuwai mwambia, nilikuja mwambia akiwa 4m3 alikubali lakn akiwa shulen mkoan mm nikiwa likzo ya kumalza 4m6..ha2kuonana mara kwa mara kwasabu ya kutofautiana likzo,kwa sababu nilikuwa nampenda sana nilkuwa namjal sana, boom langu mara kwa mara nlkuwa mpunguzia japo kwao wako vzur, kwa bahati nzur 2lionana nikiwa chuo mwaka wa 2...nlfrai nkamuomba mpnz wng 2nanii akasema hana muda..alnizungusha had likzo ikiasha, nikiwa chuo yupo karbu mm nikfunga yupo tyt..kwakuwa nampenda nlkubaliana na hyo hali..chaajabu nlvyo malza chuo nlfwata akaniambia amempata m2 anataka kumaona..iliniuma sana cz nlpenda karbia miaka kumi, kinacho uma zaid sikuwai hata mchumu.
 
Pole mkuu ila mi nafikiri ulitaka kukata kiu kidogo wakati demu wako hayupo maana kwa maneno ya mtaani wanasema demu mbaya ndio mtamu na maku yake inabana sana sababu hatongozwi saana na hata kugongwa hivyo hivyo kwasababu havutii. next time maliza kabisa si unaona umehukumiwa kwa kosa ambalo hukutenda
Sijibu hapa maana pananikumbusha yaleyale yaliyodhaniwa na Girlfriend wangu
 
mm nakumbuka kuna bnt moja nlmpenda sana toka akiwa standad 4, mm nkiwa la 7..nilpenda na alkuwa akjua ila ckuwai mwambia, nilikuja mwambia akiwa 4m3 alikubali lakn akiwa shulen mkoan mm nikiwa likzo ya kumalza 4m6..ha2kuonana mara kwa mara kwasabu ya kutofautiana likzo,kwa sababu nilikuwa nampenda sana nilkuwa namjal sana, boom langu mara kwa mara nlkuwa mpunguzia japo kwao wako vzur, kwa bahati nzur 2lionana nikiwa chuo mwaka wa 2...nlfrai nkamuomba mpnz wng 2nanii akasema hana muda..alnizungusha had likzo ikiasha, nikiwa chuo yupo karbu mm nikfunga yupo tyt..kwakuwa nampenda nlkubaliana na hyo hali..chaajabu nlvyo malza chuo nlfwata akaniambia amempata m2 anataka kumaona..iliniuma sana cz nlpenda karbia miaka kumi, kinacho uma zaid sikuwai hata mchumu.

pl sn kwa yaliyo kkta m2 wang
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom