Recent content by ntubuka

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ukawa ishakufa natural death
  2. N

    JamiiForums Tanzania Napata shida sana kujua dhamira ya Mh Lowassa kwa Taifa la Tanzania na katika Siasa za Tanzania

    Kiukweli ni lazima tufikiri kwa makini kabla ya Oktoba. Tusichukulie things for granted. Hatutakiwi kujaji haraka haraka. No body is perfect. Lakini kwa hili la kung'ang'ania kwenda ikulu kwa gharama hizi tunazozisikia hapa, mmmh!!! Umakini wa ziada unahitajika
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki wageni

    Tell them kuwa wife hatakuwepo home kwa muda so hakuna mtu wa karibu wa kumhudumia huyo mjamzito
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawati la msaada kwa Samsung Galaxy S & Note

    Natumia Note 4. Shida ni kuwa haina radio (fm radio). Nafanyaje?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Asali ya nyuki, tamu sana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Post a word starting with the last letter of the previous word

    Elimu inahitajika kwa kweli
  7. N

    JamiiForums Tanzania Niko Mbeya wakuu, nitembelee wapi na wapi

    Pia City Pub ni pazuri sana. Kwa cha kula na Malazi nenda Beaco.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Picha za mnato.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Anakupenda kimakosa!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hapa wabunge mbona siwaelewi

    JF raha sana! BRN
  11. N

    JamiiForums Tanzania One day sale: Uongo wa fastjet

    Me nimefanya booking ya Nov Mbeya Dar imekubali bila shida 45, 000. Ila for September inanipa 282,000/-
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mwanangu kitovu chake kinakuwa kikubwa akilala kinasinyaa je ni tatizo?

    Just mfunge sarafu ya Tshs. 200 kwa plasta atapona. Sio lazima saaaana sarafu ya shs 5 au 20. Pole sana
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msanii mwingine wa bongo movie (KASHI) afariki dunia!

    Too bad. RIP Cash
  14. N

    JamiiForums Tanzania TBC1 haipatikani tena ukitumia Ungo?

    Haipatikani kbs.
Back
Top Bottom