Mars Rover
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 338
- 140
- Thread starter
- #21
Mkuu ni kweli kabisa ila simu yangu s4 ram yake ni 2gb, na sijapenda kudownload app mbali na playstore. Unanishauri nn niunistall au niwe nayo tu kama pambo
Iache ikae mkuu
Mkuu ni kweli kabisa ila simu yangu s4 ram yake ni 2gb, na sijapenda kudownload app mbali na playstore. Unanishauri nn niunistall au niwe nayo tu kama pambo
Hivi Samsung galaxy tab 3 GT-P5200 bei gani asaiv?
Umekaribu kucheki eBay mkuu?
nahitaji kununua simu moja wapo Kati ya galaxy s4 au galaxy note 2, naomba ushauri ipi ni bora zaidi Kati ya hizo mbili
Galaxy 4 mini natumia, kila niki play music media player zote nilizonazo nyimbo zina sratch na kutokutoa sauti. Tatizo nn hasa
Hivi Samsung galaxy tab 3 GT-P5200 bei gani asaiv?
Nna s4 lkn ttzo lake haisomi 3g nimejaribu kila njia nimeshindwa naomba unisaidie kaka
Mkuu nina note1 tatizo nikuwaaa haiwezi kutuma sms kwa sasa. Na nimejaribu ku install different sms application lkn tatzo limebaki palepale.... Japo hapo mwanzo ilikuwa inatuma sms... Ila kwa sasa ukituma sms ina load and mwisho wa siku inakuambia sms sendn fail... Vp tatzo linaeza kuwa nn
Mkuu nina kizee S2,nilimpamshikaji anifanyie rooting i mefail na matokeo ni kwamba IMEI imebadilika kutoka 35xxxxxx ...kuja 00400xxxxxx...(sort og generic IMEI)simu inafanya kazi japo sometimes inaniletea notification kama "network notregistered".
Hapo hulazimika ku search upya au ku reboot phone yangu.
Je mkuu unaweza nisaidiaje kuirepair hii IMEI?
nahitaji kununua simu moja wapo Kati ya galaxy s4 au galaxy note 2, naomba ushauri ipi ni bora zaidi Kati ya hizo mbili
Hii ni kwa ajili ya Samsung Galaxy S na Galaxy Note.. Tupe tatizo lako tusaidiane