Mimi pia niliomba mkopo huo,na nilimaliza f4 2005,lkn kila lot ikitoka simo inawezekana ukikaa muda mrefu hupewi mkopo?yaan hapa niko chuon Mwenge nahc hawa Wakatoliki wakianza kudai ada yao watanitoa baru.Cjui nikusanye kilicho changu mapema nijikatae?lkn bado inaniuma hela ya registration...
Itakuwa vizuri kama tutafahamishana taarifa mbalimbali,kwa mfano mimi nataka kujua zile joining instructions wameshaanza kuzituma kwa wanafunzi waliochaguliwa?au unadownload tu mtandaoni,maana nataka kuitumia kuomba release letter hapa kazini.
Kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa anapenda kutumia hili neno pale hali inapoleta Sintofaham!Alipenda kusema!.....NO WAY...!Kwa hiyo hata ww Ni No way u can leave that girl Un-Done.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.