paulo lulandala
Member
- Sep 20, 2015
- 58
- 0
duh? Mkuu unaweza kukuta mtu anatoka kakasirika kumbe kapata
kuna mxhkaji hapa katoka ndan kanipa ronja kuwa, kaambiwa kuna majina mengine bado wanayafanyia allocation! bt cjui kama kwel mim naxubl niingie

nw nipo kwenye foleni wakuu hapa heslb, nasubili namba yangu ifike zam yake nimepewa namba 64! Tuungane tudai haki zetu jaman
folen kwajil ya nn mkuu????
Ulizeni na continuing mkopo watatoa au ndo tuhesabu maumivu?