Ni haki mwanaume kubebeshwa mkoba wa kike?

Ni haki mwanaume kubebeshwa mkoba wa kike?

Hakuna ubaya hata kidogo,wasio jua mapenzi ndio wataona kudhalilishwa,na hapo kijiweni wengine wanasema tuu lakini majumbani kwa wapenzi wao mpaka nazi wanakuna ...........
 
kama anaweza kukubebea mimba yako kwanini wewe ushindwe mbebea pochi jamani?
 
Jambo la kawaida sana, binafsi huwa naona inapendeza sana na napenda sana, ni haki na halina ubaya, ila hulazimishwi!!
 
Mimi siwezi kubeba kabisa, hata kama ni mke wangu, na wanawake wanao wabebesha mikoba watambua huu ni udhalilishaji kwa wanaume. Sisi huku kwetu mara hakuna mambo hayo na ukionekana unaweza ukatengwa na jamii hayo labda huko mji Dar es salaam mnaoitana baby.

Sawaa sawaa tataa
 
Labda nikushikie ukiwa wafunga viatu, au wanunua kitu
 
Nakumbuka nlishawahi bebeshwa nkiwa kijana ila cz bibie nae alikuwa kabeba mizigo mingne
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom