OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Hivi hizi zote applicable nyakati zote, mikoa yote ya Tanzania, kwa makabila yote?
Halafu upendekeze kwanza jina moja la kutumia kwa wanawake woooooote kabla ya hizo assumptions nyingine hatujazifikiria