i do conquer... Yaani i was there... Jamaa wana nidhamu tu za woga.. Maana hatua kumi kila kona na kwingine kule city center.. Ni afande kasimama loaded all the time 24 seven... Kiukweli.. Tuendelee tu kuwaombea.. Maana bado hali ni tete mnoo
hahahahahaa... Una falsafa nzuri sana... Yaani we ongelea hao unaowasikia rafiki... Mimi nakutana nao kila siku wakikueleza ni jinsi gani walianza na nini kinafuata baada ya hapo... Yaani ni mateso makali... Wanapata adha sana wale watumiaji... Maana ukishaanza si kama titti la mama utasub na...
poooooooole.... Ila ukijiua wewe haina hasaraaa... Jichome potasium... Utakata bila maumivu...hahaaaa nyingine siri za kitaaabibu hawakawii kuziapply! Jokes!
mpendwa... Naomba nikutie moyo.. Ijapo imesemwa walipo wawili mimi nipo kati yao.. Ila pia kwa yote hayo.. Neno linatuambia.. Hakuna aliyemwomba Baba samaki akapewa nyoka wala aliyebisha asifunguliwe.. Na kwa maneno hayo ya kututia nguvu.. Naomba nikupe moyo kuwa.. Mungu wetu husikia sauti...
nawaohopa sana graduates... Wengi wa maarifa ya kijiweni.. Niliwahi kukataliwa kazi baada ya kumtafutia mtu kazi na kumpelekea mpk kwake.. Hana uzoefu... Na ilikuwa na muongozo.. Nilichooowka
kabisaaaa mkuu... Ubunifu zero... Utasikia hilo mimi sijasomea... Hahaaaa.. Nikiwa intern sehem.. Nilikuwa si effective sana kwa hands on work.. Kutokana sababu fulani.. Ila i was a very good mfuatiliaji... Na hata kuhakiki mambo yanaenda sawa nikiwa kitengoni.. Nilitoa mawazo palipo hitajika...
kwa experience niliyonayo.. Kutoka kwa marafiki na watu wa karibu.. Kumekuwa na uzungushanaji wa mnunuaji gari na clearing agents walio wengi. Siongei kujitapa.. Ila kati ya hao wengi.. Nimekutana na mmoja amekidhi matwaka na haja zangu on time with a clear breakdown with receipt.. Kuna post...
embu... Nikusaidie kumjibu...
Soma neno kwa neno na uelewe ndugu.. Hajasema kubadilisha taaluma... Ila kufanya kazi yeyote iliyo halali kuliko kukaa bure home... Mfano mimi ni graduate.. Ila naweza kujitolea kusimamia usafi kkoo pale... Kwenda kuomba kazi ya kulea watoto day care... As in...
kiukweli kazi ni ngumu ila tunakosa ubunifu yakinifu kwa kazi... Usiwe na pupa wala papara... Umetafuta volunteerism ukakosa? Anzia hapo... Kisha tafuta watu kukujua na sio kutafuta uncle au mamdogo... Binafsi nina kazi mpk nakataaa.. Ila how did i make it there... Nilijichanganya mpk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.