Recent content by NtakuwaSikuchukui

  1. NtakuwaSikuchukui

    Jukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni

    Unapepo subiani bin makata, imethibitika wazi wazi kwako FaizaFoxy, kamwe Kanisa haliwezi kuwa wachochezi wakubwa wa umwagaji damu duniani. FUTA HARAKA KAULI YAKO. Kanisa siku zote linaeneza Neno la Mungu, moja wapo linasema mpende jirani yako, wakristo watawapenda ninyi siku zote na wala...
  2. NtakuwaSikuchukui

    Zitto Kabwe alimaanisha hivi..

    Mhe Zitto kweli hakuwa sahihi pale alipokubaliana na wezi kwa kuikubali formulation ya Chenge, ambayo msingi wake mawaziri hao, mwanasheria wa serikali na katibu wa nishati na madini kwamba mamlaka ya rais iamue hatima yao. Zitto kabla ya kulidhiria hilo la chenge tukumbuke aliwashika kooni hao...
  3. NtakuwaSikuchukui

    Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

    Mkuu wa wamovoko huku kazi kama kawaida. Nakupa salute, ndo nimeingia hivi najaribu kitu kimejipa. Tazama hapa
  4. NtakuwaSikuchukui

    Rais dhaifu(dhaifu HQ) plus dikteta = Nchi imemshinda, analazimisha, Je ataweza?

    Kutoka Usalama wa Taifa Taifa hodari, la kishujaa na Lililoweka mbali Uoga. Natoa pole sana kwa Dr. Steven Ulimboka pamoja na familia yake, Mungu atamsaidia, tupo pamoja tukimuombea. Hakika nimeamini upande wa pili wa Jk na serikali yake anayoiita “sikivu” si kweli, bali ni serikali ya...
  5. NtakuwaSikuchukui

    Rais asiye dhaifu ni malaika. Upuuzi wa CCM umefanya Tanzania kuwa maskini wa kutupa hadi Leo

    Kutoka Usalama wa Taifa, Taifa hodari, la kishujaa na Lililoweka mbali Uoga. Bungeni juzi mchana muheshimiwa Mnyika alisema Rais jk ni dhaifu, kwa kitendo hicho akaonekana ametukana na kuchukuliwa hatua ya kutolewa Bungeni. Je ametukana? Je neno Dhaifu ni matusi? Jibu: Si kweli neno dhaifu sio...
  6. NtakuwaSikuchukui

    Rais asiye dhaifu ni malaika.Upuuzi wa CCM umefanya Tanzania kuwa maskini wa kutupa hadi Leo

    Kutoka Usalama wa Taifa, Taifa hodari, la kishujaa na Lililoweka mbali Uoga. Bungeni Leo mchana muheshimiwa Mnyika amesema Rais jk ni dhaifu, kwa kitendo hicho akaonekana ametukana na kuchukuliwa hatua ya kutolewa Bungeni. Je ametukana? Je neno Dhaifu ni matusi? Jibu: Si kweli neno dhaifu...
  7. NtakuwaSikuchukui

    Wizara zinatuhumiwa na ufisadi,si halali kuandaa bajeti juni-julai 2012,watazidi kutuibia tu.

    kutokana na taarifa za kamati mbalimbali zilizowasilishwa bungeni hivi karibuni kuonesha uozo mkubwa wa ufisadi wa mabilioni ya fedha katika wizara nyingi​ hazina sifa ya kuandaa bajeti mwaka huu.Fedha nyingi za walipa kodi zilizokuwa kwenye bajeti mwaka jana zimeliwa na wajanja wachache...
  8. NtakuwaSikuchukui

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Hakuna maana sensa ya dini,huku ni kufilisika kimawazo,kimtazamo n.k sensa hii wanayodai itazidi kuwaumiza roho kwasabau kuna wimbi kubwa zaidi la watu wanatoka uislam na kuingia ukristo kwasababu hiyo idadi ya wakristo ni kubwa,watu wamechoka kutumikishwa na kuteswa na majini na hivyo...
  9. NtakuwaSikuchukui

    Sheikh Ponda yuko sahihi

    Hakuna maana sensa ya dini,huku ni kufilisika kimawazo,kimtazamo n.k sensa hii wanayodai itazidi kuwaumiza roho kwasabau kuna wimbi kubwa zaidi la watu wanatoka uislam na kuingia ukristo kwasababu hiyo idadi ya wakristo ni kubwa,watu wamechoka kutumikishwa na kuteswa na majini na hivyo...
  10. NtakuwaSikuchukui

    Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

    ............habari ndo hiyo..............
  11. NtakuwaSikuchukui

    Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

    Nasikitishwa sana kuona kinachotokea huko zanzibar kwa sasa,ndugu zetu wanakimbia makazi yao na kuja bara kuhofia maisha yao. Chanzo cha vurugu hizi yanatokana na mambo mawili: 1. mswahada wa katiba mpya unakataza uhuru wa watu kuzungumza juu ya muungano. Hapa wanzanzibari wameona hawatendewi...
  12. NtakuwaSikuchukui

    Airtel stop lies. Hizi modem hazina free internet; wezi wakubwa nyie

    Wezi kichizi jamaa wa india,tuwe macho. La msingi maneno kama free internet na unlimited internet yasimamiwe na TCRA waakikishe yanatumika ipasavyo sio wananchi wanadanganywa,lugha za kitapele ndani ya ardhi yetu, free wakati unalipia na ataukilipia upati internet saa hiyo hiyo hadi saa nne...
  13. NtakuwaSikuchukui

    Wizara zinatuhumiwa na ufisadi,si halali kuandaa bajeti juni-julai 2012,watazidi kutuibia tu.

    kutokana na taarifa za kamati mbalimbali zilizowasilishwa bungeni hivi karibuni kuonesha uozo mkubwa wa ufisadi wa mabilioni ya fedha katika wizara nyingi​ hazina sifa ya kuandaa bajeti mwaka huu.Fedha nyingi za walipa kodi zilizokuwa kwenye bajeti mwaka jana zimeliwa na wajanja wachache...
  14. NtakuwaSikuchukui

    Kikwete safarini Marekani!

    aha aha aha! uenda kuna ukweli hapa mamvi amerudi kwenye uwanja wa vita.jamaa alirusha kombora alikuleta madhara makubwa kwa mamvi, sasa mamvi amerudi kulipiza,jamaa salama yake kukimbia nchi.Hiyo akili kwake lakini inatuumiza walipa kodi.tunaweza mruhusu ilo kwanza avue urais wetu kisha akimbie...
  15. NtakuwaSikuchukui

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    kiukweli kutoka ndani moyoni ni ngumu kuongea mazuri ambayo ni sawa na asilimia 5 out of 100.Tanzania imejaliwa rasimali nyingi ambazo zimeshindwa kuitoa nchi kwenye umasikini,tunaitwa masikini wa kujitakia.Tatizo ni rais ambaye pamoja katiba kumpa madaraka makubwa ameshindwa kusimamia...
Back
Top Bottom